Nimeshavuka hofu

de Gunner

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2021
Posts
10,615
Reaction score
21,152
Kwa level niliyo ifikia Itoshe kusema mimi ni mtu maarufu zaidi katika hili jukwaa kwa sasa

Mimi ni kama maji tu usipo yanywa utaya oga, siogopi kitu chochote..

Nimesha vuka fear, ni naweza kuhandle presha na maneno ya watu, hakuna anyeweza kuni challenge na kunitoa mchezoni.

Siongei haya Kujitamba mimi ni bora zaidi ya wengine... Bali najiona kuwa am a king in my own world. Am not conforming to other's point of views but also respecting them for their views.

Hakika when you surpass, fear you start truly living...

Most people out here are just surviving, controlled by their 9 to 5 jobs, controlled by desires, by their relationships.. They are afraid to be free because they'll loose their worth.

Siko hapa kujitapa ila hii ni affirmation kwangu ya kwangu.

Ukiona umekuwa triggered basi tatizo sio langu ni lako.
 
Kwa level niliyo ifikia Itoshe kusema mimi ni mtu maarufu zaidi katika hili jukwaa kwa sasa

Mimi ni kama maji tu usipo yanywa utaya oga, siogopi kitu chochote..

Umetafuta attention na umeipata.

Ila maneno hapa chini . Ni kujipa umuhimu sehem ambayo Hustahili huo umuhimu.
Mimi ni kama maji tu usipo yanywa utaya oga, siogopi kitu chochote

Ww sio Kama maji.
Ww uwepo au usiwepo hakuna kitu kitaharibika.
Na kama unafikiri uwepo wako una inspired watu. Basi unajidanganya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…