Wewe jamaa lofa sana. Hujui english medium schools ziko kwenye nchi zote ambazo zinathamini lugha zao za asili? Hebu search hata haya maneno matatu tu: english + medium + schools halafu uone majibu.
List of English language schools in China | Eslbase.com
This list contains details of language schools, international schools and other institutions offering English language courses in China.www.eslbase.com
Arusha school ni tangu 1961.Shule za serikali zinazotumia kiingereza zimekuwepo tangia zamani, mfano kwa Dar es salaam Olympio primary school imekuwa ikitumia Kiingereza.
What's so special with English you are trying to yap in here? Is it a ticket to get into the Kingdom of God?Kingereza raha bana, kimewashinda huko, kinahitaji IQ bora sio mlivyo huko, yaani misamiati ikinitoka wakati nazungumza kingereza huwa nahisi kama napiga nyeto vile.....mtahaingaika sana ila hamuwezi kutufikia kwenye uwezo wa kuongea kingereza, matajiri wenu wote wamegundua hilo na kujaza watoto wao kwenye English medium schools, nyie wengine makajamba ndio mnahangaika hata salamu kwa Kingereza hamjui.
Huyu MK254 Inabidi tukampose ili aingie rasmi kwenye familia yetu ya mzee Tanzania.
Hehehe!!! Halafu huko Bongo nilikuta Kingereza ni bonge la dili, yaani mtaji kabisa, kuna watu kula yao ni Kingereza, Mtanzania anayejua kutema yai bila kubabaika hukwapua hela sana.What's so special with English you are trying to yap in here? Is it a ticket to get into the Kingdom of God?
Hehehe! Halafu huko Bongo nilikuta kingereza ni bonge la dili, yaani mtaji kabisa, kuna watu kula yao ni Kingereza, Mtanzania anayejua kutema yai bila kubabaika hukwapua hela sana kisa na maana ni kwamba mpo mamilioni ya Watz msiojua Kingereza halafu ndio kinategemewa pakubwa kwenye baadhi ya mambo muhimu, sasa wachache wanaokifahamu yaani raha sana.
Wageni haswa Wakenya na Waganda pia wanakitumia sana kupiga hela huko.
Labda kama mtaniachia na mimi nichume hapa ambapo naona mabeberu hujichukulia tu kama shamba la bibi Leo hii ni Januari 2021, hivi gesi ya Mtwara imefikia wapi? | JamiiForums
Nazungumza kuhusu nilchoshuhudia, banae kingereza mtaji asikuambie mtu.Go to consultant the infamous bestseller "English: The Myth of Language and Knowledge" by Martha Qorro.
Not only English that pays, but the professionalism. That's the truth through out the world.
Unazidi kuchanganyikiwa unavyozidi kuzeeka.Kingereza raha bana, kimewashinda huko, kinahitaji IQ bora sio mlivyo huko, yaani misamiati ikinitoka wakati nazungumza kingereza huwa nahisi kama napiga nyeto vile.....mtahaingaika sana ila hamuwezi kutufikia kwenye uwezo wa kuongea kingereza, matajiri wenu wote wamegundua hilo na kujaza watoto wao kwenye English medium schools, nyie wengine makajamba ndio mnahangaika hata salamu kwa Kingereza hamjui.
Why this segregation. Can't they just make it uniform? Why do they make it look like some people need a specific language more than others?Shule za serikali zinazotumia kiingereza zimekuwepo tangia zamani, mfano kwa Dar es salaam Olympio primary school imekuwa ikitumia kiingereza.
Not really, it's just another option one can have.Why this segregation.
99.9% of government schools (primary) in Tanzania use Kiswahili as a media of communication, that way children would have a better command of the national language.Can't they just make it uniform? Why do they make it look like some people need a specific language more than others?
Ulielewa vby kama unavoelewaga Sikh zote japo siamini kama huelewi ila unaamua kupotosha kwa makusudi. Tz haijakataa kwamba kiingereza ni kizuri na kuna umuhimu Wa kujifunza na kuongea. Ndio mana at a hizo shule unazosema za kayumba lipo somo la kiingereza. Shida iliyopo ninpale mnapokitukuza kiingereza kuliko at a Mungu. Sisi tz tunajua lugha zote in sawa na kila MTU mwenye uwezo Wa kusoma anapaswa kusoma pasipo kudharau lugha ya mwingine
Tupe chanzo cha habari na hizo percentage unazogawaKiufupi tz tupo vizuri kiswahili na tunajivunia ila sasa kiingereza niwe mkweli tu hata hizi shule za english medium nilishuhudia ngoma za kihuni zinapigwa siku ya graduation kwenye shule flani ivi ya primary ya english medim, hii ilionesha wazi huenda kulikuwa na shida ya kuelewa kinachoimbwa
Tz kiingereza cha cha kuwaza kina ufasaha wa 98%
cha kuandika 80%, nadhani hata wengi tunawaona kwenye comment sections
Cha kusikiliza (kuelewana) kwa lafudhi ya uk au us hapa mtu anaambulia 30% na wengi huwa wanalalamika wazungu wanamungunya maneno
cha kuongea ni 40%, hapa mtu huwa anapenda kuulizwa kwa kiswahili alafu yeye ajibu kwa kiingereza.
Mama ndalichako, waziri wa elimu ni mfano tosha 😁😁Tupe chanzo cha habari na hizo percentage unazogawa
We jamaa pamoja na kuwa mpumbavu lakini ni mwerevuLugha yoyote usipojenga uzoefu unakua kama zezeta tu, binafsi kuna kipindi nilijifunza Kifaransa ila kwa kuwa sikukitumia yaani leo hii hata kuomba maji kwa Kifaransa sijui unaanza vipi.
Sasa nyie hapo mnashtukizwa kwa Kingereza mkianza shule ya upili, halafu baada ya hapo mnaingia mtaani unakuta hakuna anayejua kukitumia labda watoto wa matajiri. Unaishia kukisahau kisha baadaye unakuta vitu vingi ikiwemo sheria na mikataba imeandikwa kwa Kingereza, yaani mkataba wa kampuni ya madini umeandikwa kurasa 800 kwa kingereza huku ukiwaza wewe ni mtu wa ze ze ze unaomba uonyeshwe wapi pa kutia saini tu, na hapo ndio mnajikuta mkiliwa sana, nchi inakua na madini kuliko mataifa yote Afrika lakini ukata umetamalaki kote.