Nimeshangaa kule Tanzania kumbe kuna shule za serikali ambazo ni English medium,. Wenzetu mbona huwa wanajikanganya hivi?

Tanzania haijawahi kudharau kiingereza, ni awamu hii tu ndo kumezuka hili jambo na hata sisi tunaona aibu usione tunajikakamua kubisha. Awamu tuna sababu ya msingi ya kukiponda kiingereza, hakuna nyumba inapika kitimoto wakati baba mwenye nyumba hatumii kisa kuna watoto wanatamani Kitimoto.

Nimecheka kwa sauti hapa......
 
I know, you get tickled when some of our people fall into your trap.

Le me pinch MK254 like njoo uone wanaojielewa kama wako obsessed na kiingereza kama wewe.
Chombo hiki kikubwa ulaya na duniani kinaona na kawaida tu kuongea kiingereza kilichovunjika vunjika. Likini wewe gologocho boy umeshikia bango. Yaani umekuwa zuzu, hata sababu ya kuwa hivyo hamna anayeijua.

I know, you get tickled when some of our people fall into your trap.

Kwanza nikiwa kikao na Wabongo halafu itokee kingereza ndio kinatumika, aisei hadi raha....
Binafsi kabla ujio wangu Bongo, Kingereza sikua naona kama issue kubwa maana huku Kenya tunakitumia kuanzia chekechea, ila nilipokuja huko Tz nikashangaa kumbe kujua Kingereza ni bonge la dili, yaani mtaji kabisa, kunao kula yao inaokana na kujua Kingereza tu huko, ilibidi nijiboreshe zaidi na kuhakikisha natema yai mpaka basi.

Nchi yenye mamilioni ya watu wasiojua hata salamu kwa Kingereza hadi viongozi halafu hicho hicho Kingereza ndio kinategemewa kwenye baadhi ya mambo mengi, sio kama kule mataifa ya Ulaya mfano Ufaransa au Ujerumani hata Urusi na Uchina ambapo lugha zao zinatumika kwenye kila kitu kiasi kwamba wataalam wao hawna haja kabisa ya kujua Kingereza, wanabuni vitu vingi wakitumia lugha zao na wameshajitosheleza, ila sasa nyie hapo hata sindano mnaagiza tena kwa kutumia Kingereza halafu leo hii mnajifanya kukichukia kisa kimewashinda.
 
Le me pinch MK254 like njoo uone wanaojielewa kama wako obsessed na kiingereza kama wewe.
Chombo hiki kikubwa ulaya na duniani kinaona na kawaida tu kuongea kiingereza kilichovunjika vunjika. Likini wewe gologocho boy umeshikia bango. Yaani umekuwa zuzu, hata sababu ya kuwa hivyo hamna anayeijua.

Huo uzi nimesoma sentensi moja nikakosa hamu ya kuendelea maana hamna kikubwa, ni yale yale tu ambayo huwa mnatumia kutetea uzembe wenu wa kutokujua kingereza.
Wazungu wengi hata Warusi japo hawajui Kingereza ila utakuta kwao hakitumiki kwenye chochote, labda tu pale wanahitaji kuwasiliana na watu wa mataifa mengine, ila nyie hapo Kingereza kinategemewa kwenye mambo mengi nyeti ikiwemo mikataba hadi ikulu halafu sasa chenyewe kimewapiga chenga, ila kama nilivyosema huwa mtaji kwa wale wanaokijua.
Watoto wa vigogo wenu wote wanasomea Kingereza, makajamba wa Buza ndio wameaminishwa wagande kwenye Kiswahili......
Wabongo mlisababisha nifanye maamuzi ya kuboresha Kingereza changu sana, sikua nakichukulia kwa umaanani hapo awali kabla kuja Bongo.
 
Haswa wewe siku nyingi nakuambia ujifunze kingereza maana huwa unatia huruma sana....raha ya kuandika na kuongea kingereza asikuambie mtu..
Wenzako wenye hela wanakesha wakijifunza ilhali wewe umeganda hapo Buza ukijiaminisha ni cha mkoloni.
Kiingereza nilishajifunza siku mingi mno ndio maana sibabaiki hovyo!

Huwa nazungumza ikibidi, sipapariki nacho kwa namna yoyote. Na kweli nakibonga tu vyema bila utata.

Lakini sijivunii nacho kabisa wala sioni kama ni jambo la fahari kama watumwa wengine wa wakoloni wa sampuli yako.

Nimekuja kugundua kuwa Kiswahili kinanifaa sana aisee.... najisikia fahari sana.
 
Ungekua unajua kingereza nina uhakika IQ yako ingekua na kauelewa zaidi, ila kwa ulivyo ni wazi wewe ni muuza mtori hapo Tandale, hauna exposure yoyote ya Kingereza.
 
Ungekua unajua kingereza nina uhakika IQ yako ingekua na kauelewa zaidi, ila kwa ulivyo ni wazi wewe ni muuza mtori hapo Tandale, hauna exposure yoyote ya Kingereza.
We guluguja wa Kibera una mipasho kama Asha Boko!

Hebu chamba kwa kizungu ili ninogewe vizuri!

Si ajabu umevaa dera hapo "unanichamba" huku unapapaswa msambwanda taratibu!

Kweli mombasa raha!
 
We guluguja wa Kibera una mipasho kama Asha Boko!

Hebu chamba kwa kizungu ili ninogewe vizuri!

Si ajabu umevaa dera hapo "unanichamba" huku unapapaswa msambwanda taratibu!

Kweli mombasa raha!

Hehehe utanilipa ada ya kukuelimisha kingereza?
Ulivyoandika hapa ni bayana ya nilichosema IQ yako imekaa Kitandale Tandale...
 
Umeamulia haya mataga leo😂😂

Jumapili ndio huwa napata fursa ya kuwapa kama ilivyo maana siku za wiki huwa niko busy, sema leo naona wametoweka na muda huu ndio nimejua waliko, kumbe wote wamekusanyika Youtube wanafuatilia kashfa ya Diamond na babake....ndio maana humu leo kuna upweke.
Hawa huwa na herd mentality, kitu kimoja wanakusanyika wote huko...
 
Hizo shule hapa Bongo zipo. In fact binti yangu anasoma kwenye Gov't English Medium school ila sasa tatizo, quality of education ipo chini sana. Kingine ni idadi ya wanafunzi wanaosoma kwenye hizi shule kwa kila darasa ........... wueh!!!!!!!!! Acha tu!!!
 
...Watz haswa walalahoi wote huwa wameaminishwa Kingereza ni cha mkoloni mara sijui ni cha malkia, hivyo watoto wao wapelekwe kusomea kwenye shule za st Kayumba, ilhali wenye hela zao na hata viongozi wapeleke watoto wao kwa shule binafsi za English medium,
Hao walala-hoi wanapigwa tu changa la macho..
 
Huo uzi nimesoma sentensi moja nikakosa hamu ya kuendelea maana hamna kikubwa, ni yale yale tu ambayo huwa mnatumia kutetea uzembe wenu wa kutokujua kingereza.
Wazungu wengi hata Warusi japo hawajui Kingereza ila utakuta kwao hakitumiki kwenye chochote, labda tu pale wanahitaji kuwasiliana na watu wa mataifa mengine, ila nyie hapo Kingereza kinategemewa kwenye mambo mengi nyeti ikiwemo mikataba hadi ikulu halafu sasa chenyewe kimewapiga chenga, ila kama nilivyosema huwa mtaji kwa wale wanaokijua.
Watoto wa vigogo wenu wote wanasomea Kingereza, makajamba wa Buza ndio wameaminishwa wagande kwenye Kiswahili......
Wabongo mlisababisha nifanye maamuzi ya kuboresha Kingereza changu sana, sikua nakichukulia kwa umaanani hapo awali kabla kuja Bongo.

Achana na hizo longolongo, kutukuza lugha ya wengine mpaka kufikia kuisujudia ni mawazo ya ukoloni wa hali ya juu. Nilileta mada hii makusudi kabisa kuwaonesha baadhi ya watu wenye limited exposure ndogo like you, ya kwamba even many of learned wazungu, wanaongea kiingereza kilichovunjika vunjika. Ndiyo maana watanzania hatushoboki na kilugha cha malkia.
 
Achana na hizo longolongo, kutukuza lugha ya wengine mpaka kufikia kuisujudia ni mawazo ya ukoloni wa hali ya juu. Nilileta mada hii makusudi kabisa kuwaonesha baadhi ya watu wenye limited exposure like you, ya kwamba even many of learned wazungu, wanaongea kiingereza kilichovunjika vunjika. Ndiyo maana watanzania hatushoboki na kilugha cha malkia.

Kingereza raha bana, kimewashinda huko, kinahitaji IQ bora sio mlivyo huko, yaani misamiati ikinitoka wakati nazungumza kingereza huwa nahisi kama napiga nyeto vile.....mtahaingaika sana ila hamuwezi kutufikia kwenye uwezo wa kuongea kingereza, matajiri wenu wote wamegundua hilo na kujaza watoto wao kwenye English medium schools, nyie wengine makajamba ndio mnahangaika hata salamu kwa Kingereza hamjui.
 
Kuna uzi nimekutana nawo humu unaongelea kuhusu shule za serikali ambazo ni English medium, nikawa nachanganyikiwa, maana Watz haswa walalahoi wote huwa wameaminishwa Kingereza ni cha mkoloni mara sijui ni cha malkia, hivyo watoto wao wapelekwe kusomea kwenye shule za st Kayumba, ilhali wenye hela zao na hata viongozi wapeleke watoto wao kwa shule binafsi za English medium, ila kumbe kunazo pia za serikali na zinazotumia mtaala mmoja japo zina ada ya gharama.

Ndugu zetu hiki kingereza mtakizunguka na kukitukana na kujifanya kukichukia ila hakikwepeki kwenye utandawazi wa leo, mambo ya "sizitaki mbichi" yamepitwa na wakati.... suluhisho ni kucaha uzembe na kukisomea

Shule za English medium za serikali | JamiiForums

Kuna huu uzi mwingine ambao naona jamaa ameandia kwa uchungu sana kuhusu hilo hilo JAMHURI YA WOGA! | JamiiForums
Wewe jamaa lofa sana. Hujui english medium schools ziko kwenye nchi zote ambazo zinathamini lugha zao za asili? Hebu search hata haya maneno matatu tu: english + medium + schools halafu uone majibu.

Back
Top Bottom