Nimeshangaa kule Tanzania kumbe kuna shule za serikali ambazo ni English medium,. Wenzetu mbona huwa wanajikanganya hivi?

Ila we Jamaa unaipenda Sana Tz maana huishi kuitaja kila siku.
 
Wewe jamaa lofa sana. Hujui english medium schools ziko kwenye nchi zote ambazo zinathamini lugha zao za asili? Hebu search hata haya maneno matatu tu: english + medium + schools halafu uone majibu.

Kwa namna malofa wa ghetto huwa mumeaminishwa kuchukia Kingereza sikujua kuna shule za serikali ambazo ni English medium, ila nimegundua kumbe zina ada ya juu kidogo, hivyo bado malofa hamna fursa hiyo ya kujua Kingereza, mtaendelea kuganda kwa muda mrefu sana.
 
Kingereza raha bana, kimewashinda huko, kinahitaji IQ bora sio mlivyo huko, yaani misamiati ikinitoka wakati nazungumza kingereza huwa nahisi kama napiga nyeto vile.....mtahaingaika sana ila hamuwezi kutufikia kwenye uwezo wa kuongea kingereza, matajiri wenu wote wamegundua hilo na kujaza watoto wao kwenye English medium schools, nyie wengine makajamba ndio mnahangaika hata salamu kwa Kingereza hamjui.
What's so special with English you are trying to yap in here? Is it a ticket to get into the Kingdom of God?
 
What's so special with English you are trying to yap in here? Is it a ticket to get into the Kingdom of God?
Hehehe!!! Halafu huko Bongo nilikuta Kingereza ni bonge la dili, yaani mtaji kabisa, kuna watu kula yao ni Kingereza, Mtanzania anayejua kutema yai bila kubabaika hukwapua hela sana.

Kisa na maana ni kwamba mpo mamilioni ya Watz msiojua Kingereza halafu ndio kinategemewa pakubwa kwenye baadhi ya mambo muhimu, sasa wachache wanaokifahamu yaani raha sana.

Wageni haswa Wakenya na Waganda pia wanakitumia sana kupiga hela huko.
 
Hehehe! Halafu huko Bongo nilikuta kingereza ni bonge la dili, yaani mtaji kabisa, kuna watu kula yao ni Kingereza, Mtanzania anayejua kutema yai bila kubabaika hukwapua hela sana kisa na maana ni kwamba mpo mamilioni ya Watz msiojua Kingereza halafu ndio kinategemewa pakubwa kwenye baadhi ya mambo muhimu, sasa wachache wanaokifahamu yaani raha sana.
Wageni haswa Wakenya na Waganda pia wanakitumia sana kupiga hela huko.

Go to consultant the infamous bestseller "English: The Myth of Language and Knowledge" by Martha Qorro.
Not only English that pays, but the professionalism. That's the truth through out the world.
 
Go to consultant the infamous bestseller "English: The Myth of Language and Knowledge" by Martha Qorro.
Not only English that pays, but the professionalism. That's the truth through out the world.
Nazungumza kuhusu nilchoshuhudia, banae kingereza mtaji asikuambie mtu.
 
Huwezi pata kitu. Maana wewe unatoshana na wenzako wa kologocho.
😂🤣😁
Hapo uko sahihi sitapata kitu ikiwa hao wazawa wa Mtwara kutwa wanaona gesi yao inachumwa tu ilhali wao kanda mbili kila siku, wazungu bana.
 
Kingereza raha bana, kimewashinda huko, kinahitaji IQ bora sio mlivyo huko, yaani misamiati ikinitoka wakati nazungumza kingereza huwa nahisi kama napiga nyeto vile.....mtahaingaika sana ila hamuwezi kutufikia kwenye uwezo wa kuongea kingereza, matajiri wenu wote wamegundua hilo na kujaza watoto wao kwenye English medium schools, nyie wengine makajamba ndio mnahangaika hata salamu kwa Kingereza hamjui.
Unazidi kuchanganyikiwa unavyozidi kuzeeka.
 
Shule za serikali zinazotumia kiingereza zimekuwepo tangia zamani, mfano kwa Dar es salaam Olympio primary school imekuwa ikitumia kiingereza.
Why this segregation. Can't they just make it uniform? Why do they make it look like some people need a specific language more than others?
 
Why this segregation.
Not really, it's just another option one can have.
Can't they just make it uniform? Why do they make it look like some people need a specific language more than others?
99.9% of government schools (primary) in Tanzania use Kiswahili as a media of communication, that way children would have a better command of the national language.
 
Ulielewa vby kama unavoelewaga Sikh zote japo siamini kama huelewi ila unaamua kupotosha kwa makusudi. Tz haijakataa kwamba kiingereza ni kizuri na kuna umuhimu Wa kujifunza na kuongea. Ndio mana at a hizo shule unazosema za kayumba lipo somo la kiingereza. Shida iliyopo ninpale mnapokitukuza kiingereza kuliko at a Mungu. Sisi tz tunajua lugha zote in sawa na kila MTU mwenye uwezo Wa kusoma anapaswa kusoma pasipo kudharau lugha ya mwingine

Comments za Watz nyingi huonyesha watu waliojikatia tamaa kwenye kingereza, kikiwapiga chenga maanza kusema cha malkia mara hamkitukuzi, yaani vijisababu vya hovyoo.
 
Kiufupi tz tupo vizuri kiswahili na tunajivunia ila sasa kiingereza niwe mkweli tu hata hizi shule za english medium nilishuhudia ngoma za kihuni zinapigwa siku ya graduation kwenye shule flani ivi ya primary ya english medim, hii ilionesha wazi huenda kulikuwa na shida ya kuelewa kinachoimbwa

Tz kiingereza cha cha kuwaza kina ufasaha wa 98%

cha kuandika 80%, nadhani hata wengi tunawaona kwenye comment sections

Cha kusikiliza (kuelewana) kwa lafudhi ya uk au us hapa mtu anaambulia 30% na wengi huwa wanalalamika wazungu wanamungunya maneno

cha kuongea ni 40%, hapa mtu huwa anapenda kuulizwa kwa kiswahili alafu yeye ajibu kwa kiingereza.
 
Tupe chanzo cha habari na hizo percentage unazogawa
 
Lugha yoyote usipojenga uzoefu unakua kama zezeta tu, binafsi kuna kipindi nilijifunza Kifaransa ila kwa kuwa sikukitumia yaani leo hii hata kuomba maji kwa Kifaransa sijui unaanza vipi.

Sasa nyie hapo mnashtukizwa kwa Kingereza mkianza shule ya upili, halafu baada ya hapo mnaingia mtaani unakuta hakuna anayejua kukitumia labda watoto wa matajiri. Unaishia kukisahau kisha baadaye unakuta vitu vingi ikiwemo sheria na mikataba imeandikwa kwa Kingereza, yaani mkataba wa kampuni ya madini umeandikwa kurasa 800 kwa kingereza huku ukiwaza wewe ni mtu wa ze ze ze unaomba uonyeshwe wapi pa kutia saini tu, na hapo ndio mnajikuta mkiliwa sana, nchi inakua na madini kuliko mataifa yote Afrika lakini ukata umetamalaki kote.
We jamaa pamoja na kuwa mpumbavu lakini ni mwerevu
 
Back
Top Bottom