figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,492
- 54,895
Hi all
Baada ya kutumia jina la kuazima na avatar fake kwa muda mrefu nimeamua kujiunga kwa jina langu halisi. Nina sababu zangu binafsi zinazo nipeleka kubadilisha privacy yangu. Naomba ushirikiano toka kwa members wote. Asanteni
Soraya
kwanini mwandiko wako unafanana na mwandiko wa Husninyo?. mia
Last edited by a moderator: