Nimerudi kwa jina langu halisi

Hi all

Baada ya kutumia jina la kuazima na avatar fake kwa muda mrefu nimeamua
kujiunga kwa jina langu halisi. Nina sababu zangu binafsi zinazo
nipeleka kubadilisha privacy yangu. Naomba ushirikiano toka kwa members
wote. Asanteni

Soraya

Velcome! do'n vorry!!
 
Jina lako la zamani ni nani kwani(?)

Ila jina lako kama sio geni masikioni kwangu? Unamjua mzee mmoja anaitwa Kadende au jamaa fulani anaitwa Chirume ana dada yake anaitwa Maria?
 
Kwa kufanya maamuzi Maamuzi Magumu yako hiyo ni zaidi ya Raisi wetu Anavyoshindwa kufanya maamuzi Pokea Like yangu ambayo ni ya kwanza...kwako kwa jina lako halisi

Kwa kufanya maamuzi Maamuzi Magumu yako hiyo ni zaidi ya Raisi wetu Anavyoshindwa kufanya maamuzi Pokea Like yangu ambayo ni ya kwanza...kwako kwa jina lako halisi

Asante sana mkuu. Nadhani wakati umefika kwangu kuanza kutoa maoni kwa kutumia jina langu na picha yangu halisi. It is a storng message I want to send out there: I stand valiantly for my opinion
 
Back
Top Bottom