Mabadiliko ya jina(username) kutoka Katkit na kuwa Omar B Salum.

Katkit

JF-Expert Member
Mar 12, 2023
1,893
4,593
Good morning...

Kwa akili zangu timamu bila kushawishiwa na mtu yeyote, nimeamua kutumia jina langu halisi Omar B Salum badala ya lile la kubuni @katkit .

Shukran za dhati kwa Mods kwa kupitisha maombi yangu ya kubadili jina, Mungu awabariki sana.
 
Back
Top Bottom