Nimerudi kwa jina langu halisi

Hi all

Baada ya kutumia jina la kuazima na avatar fake kwa muda mrefu nimeamua kujiunga kwa jina langu halisi. Nina sababu zangu binafsi zinazo nipeleka kubadilisha privacy yangu. Naomba ushirikiano toka kwa members wote. Asanteni

Soraya

kwanini mwandiko wako unafanana na mwandiko wa Husninyo?. mia
 
Last edited by a moderator:
Congrat'n Soraya,it was a long walk from nowhere to NOW HERE. Nice for having YOU.
 
Usiseme, ukisema n'taliiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiia!
 
Unanikumbusha ile movie ya THE STONNING OF SARAYA iliyochezwa Iran
 
7 Reactions
Reply
Back
Top Bottom