Nimerudi kwa jina langu halisi

Jina lako la zamani ni nani kwani(?)

Ila jina lako kama sio geni masikioni kwangu? Unamjua mzee mmoja anaitwa Kadende au jamaa fulani anaitwa Chirume ana dada yake anaitwa Maria?

Nilitaka kuunganisha jina langu la zamani na hili hapa ila nikaambiwa nisubiri kidogo. Hao watu siwajui, ni nani kwani? Na wewe unamjua Mzee Hanga
 
wewe mgeni wewe matata sana, kwa mtindo huu hata mimi na verify aisee. Reputation power ya kufa mtu kwa post 8 tu? RESPECT! Yaani kidogo nijisahau... Karibu dear, hapa panaitwa ukiingia hapabandukiki! lolz.
 
I know! Remember, this is not my first ID. Hiyo reputation power hata mimi nimeshangaa, but nashukuru kwa walio niongezea.
 
Mmmmh. Karibu Soraya. Karibu sana. Tafadhali mi ni mgeni wa majina haya kama
Vipi niPM jinsia yako na jina lako la zamani ili twende sawa. Hata hivyo nasubiri mwaliko wa Iddi, Aidha nakukaribisha pia nyumbani kwangu.
 
kuwa tu makini Soraya, naoana utakuwa na admirer tayari, anakulainisha ka rep power, hara hara dear. Alafu hebu ni shawishi na mimi kitu gani kimekusukuma?
 
I just want to express myself. Hapo mwanzo nilikua natumia ID as a fictive character but it is about time I start interacting as me, the real me.
 
Mmmmh. Karibu Soraya. Karibu sana. Tafadhali mi ni mgeni wa majina haya kama
Vipi niPM jinsia yako na jina lako la zamani ili twende sawa. Hata hivyo nasubiri mwaliko wa Iddi, Aidha nakukaribisha pia nyumbani kwangu.

wewe Kaizer wa wapi jamani? badala ya kudeal na jinsia ya sasa original sio fake hata JF wanaijua unataka ya kale?
 
Mi ya sasa ndo sijaijua bado ndo haswaa nikiitafuta Neiwa
 
Last edited by a moderator:
Mmmmh. Karibu Soraya. Karibu sana. Tafadhali mi ni mgeni wa majina haya kama
Vipi niPM jinsia yako na jina lako la zamani ili twende sawa. Hata hivyo nasubiri mwaliko wa Iddi, Aidha nakukaribisha pia nyumbani kwangu.

Asante sana Kaizer. Jinsia yangu ndio hiyo inayo onekana hapo (biologically female). Jina linatamkwa kama lilivo andikwa, SORAYA. Asante kwa kunialika nyumbani, nitapita nikijaliawa. Karibu kwangu pia.
 
I just want to express myself. Hapo mwanzo nilikua natumia ID as a fictive character but it is about time I start interacting as me, the real me.

That is really really good dear, ngoja nijipange na mie nijilipue. Kama hutajali ID yako ya kale?

Mi ya sasa ndo sijaijua bado ndo haswaa nikiitafuta Neiwa

ya sasa si ndio hii? wacha fujo Kaizer. hahaha
 
Last edited by a moderator:
Nilitaka kuunganisha jina langu la zamani na hili hapa ila nikaambiwa nisubiri kidogo. Hao watu siwajui, ni nani kwani? Na wewe unamjua Mzee Hanga

Du! Kama kweli hii picha ni yako, basi makubwa!

Samahani umefunga? Nilikuwa na salamu zako....
 
avatar97217_1.gif

@Souraya uko "kishua" nimekukubali!!
 
Back
Top Bottom