Nimerejea kutazama 'Video' mbalimbali za Hayati Rais Dkt. Magufuli niseme tu Samahani kwa 'Kumkosoa' ila Asante Mungu kwa 'Kutuzawadia' Rais kama yeye

You have never been a leader i guess.

So jeshi, Army (carrying arms, vifaa vya kivita) unafikiri kazi yake ni nini?

Sera zako zinaweza kuwaua wengi sana, wakulima, maskini,vijana.

Police, (policing) kutekeleza majukumu ya serikali kazi yao ni ipi? Usalama wa Taifa jukumu lao ni lipi?

Sio wewe binafsi utaua watu, but through organs you control you can kill hundreds kimya kimya.

Sometimes you have do neccesity kuwaokoa wengi.

Ni uongozi gani haujafanya hivyo kwenye historia ya dunia?
Some killings during Jiwe era were not necessary, Ben Saanane alikuwa anahatarisha kitu gani, huo ni mfano mmoja tu lakini mifano iko mingi sana.
Issues kama vita au kukabiliana na armed robbers hapo kila mwenye akili timamu anaelewa umuhimu wa kutekeleza yaliyo ya lazima(unavoidable killings).
 
Any killings in any era is not necessary from ndugu wahusika from their point of view.

Tukupe urais leo, utatalawa kwa maneno tu?
 
Makenge waliokuwa sponsored na Jiwe mwenyewe, sasa hapo tofauti kati yake na wao ni ipi.
Kwa kuwa wao ni kenge naye alikuwa kenge pia.
Aliwaamini lakini kumbe walikuwa hawaaminiki, wakafisadi
 
Any killings in any era is not necessary from ndugu wahusika from their point of view.

Tukupe urais leo, utatalawa kwa maneno tu?
Je wewe ukipewa urais utaua tu?Kutawala kwa vitendo si kuua watu peke yake.
Umeshawahi kuwaza kuhusu ndugu za wanaouawa kwa sababu tu ya kutofautiana mawazo ya kisiasa au ya kiuchumi na viongozi walio madarakani?
Binadamu yoyote anayeamini katika haki na usawa hawezi kukubali mauaji ya watu wasio na hatia na ndiyo maana kuna organs kama mahakama(na zenyewe ziwe zinafuata misingi ya sheria) kuhukumu watu kulingana na makosa yao.
 
Wewe utafanyaje? Nani aliua tu bila sababu yoyote?
 
You have never been a leader i guess.

So jeshi, Army (carrying arms, vifaa vya kivita) unafikiri kazi yake ni nini?

Sera zako zinaweza kuwaua wengi sana, wakulima, maskini,vijana.

Police, (policing) kutekeleza majukumu ya serikali kazi yao ni ipi? Usalama wa Taifa jukumu lao ni lipi?

Sio wewe binafsi utaua watu, but through organs you control you can kill hundreds kimya kimya.

Sometimes you have do neccesity kuwaokoa wengi.

Ni uongozi gani haujafanya hivyo kwenye historia ya dunia?
Wewe mbona una "Parochial Mind"! Ina maana ukiwa kiongozi lazima uamuru watu wauawe kwa hiyo wewe ndio sheria.

Hayo ndio mambo yaliyofanya tumkatae Magufuli na kupelekea Mungu amchukue kwa kuona alikuwa anaangamiza watu wake.

Nchi inatakiwa iongezwe kwa sheria na wala sio kwa amri au matakwa ya mtu mmoja kwani huo ni udikteta na ndio ilikuwa dhana ya Magufuli.
 
Hujaelewa, nitakuwa napoteza muda kukuelewesha. Later.
 
Hayati Rais Dkt. John Pombe Joseph Magufuli Asante kwa kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa Kipindi chako chote na leo GENTAMYCINE bila Unafiki nasema Tanzania tarehe 17 March, 2021 tumempoteza "Malaika Maalum' aliyeletwa na Mwenyezi Mungu kuja Kutuamsha Watanzania, Kututhaminisha, Kutuheshimisha, Kutuaminisha na kutuletea Maendeleo ya haraka.

Kutoka Mwezi March 2021 hadi leo hii (Mwezi Oktoba 2021) nimeanza Kuiona Tanzania ya tofauti kabisa ambayo imeanza kurudi nyuma na 'Kusuasua' katika Sekta nyingi na Maeneo mengi hali ambayo imeanza Kunitisha huku Machozi ya Kumbukumbu ya Kuondokewa nae Hayati Rais Dkt. Magufuli yakianza 'Kunibubujika' tena.

Nisamehe Hayati Rais Dkt. Magufuli kwa Kukukosoa Kimihemko, nakukumbuka, nakulilia sana na namuomba Mwenyezi Mungu ailaze Roho yako mahala pema Peponi ila huko Chato ulikolala sasa jua kuwa Viatu vyako bado ni Vikubwa na Vinawapwaya wale waliodhani kuwa aina ya Uongozi wako ulikuwa ni rahisi wakisahau kuwa Umahiri wako wa Kiuongozi uliongozwa ma kutawaliwa zaidi na Kumtanguliza Kwako Mwenyezi Mungu na Malaika wake.

Ninatamani 2025 aje tu Magufuli mpya.
Nchi ina watu wengi wa kuiongoza waliopo wanatosha huyo alifanya nafasi yake akaishia hapo, endelea kuchapa kazi
 
Kwani nini kimetokea jamani???si tulifunga mjadala humu kwamba alikuwa dikiteta!¡!!
Imekuwaje tena
View attachment 1991339
limeipendelea chato kwa kila kitu...jitu gani binafsi vile...midege yooote ile ya nini?? Km siyo upigaji?? East africa wote tuwe na ndege mwee!! Haikuwa mipango yetu..... wewe akili zimeenda likizo na mafuta ya mwenge!! Alistuka moyo alivo boronga kwa kumaliza hazina ya kikwete pressure ikapanda si akafa.....yeye kaaxha hazina nyeupe pewwe
 
Mibongo bhna!ujuaji mwingiiii!!haya sasa hv kla ktu zanzbar adi mikopo inakopw na znzbar anapata then bara ndo wanalipa,unalzngumziaje hilo?
 
Wewe mbona una "Parochial Mind"! Ina maana ukiwa kiongozi lazima uamuru watu wauawe kwa hiyo wewe ndio sheria.

Hayo ndio mambo yaliyofanya tumkatae Magufuli na kupelekea Mungu amchukue kwa kuona alikuwa anaangamiza watu wake.

Nchi inatakiwa iongezwe kwa sheria na wala sio kwa amri au matakwa ya mtu mmoja kwani huo ni udikteta na ndio ilikuwa dhana ya Magufuli.
Mibongo bhana!mbona Rais wa uflipino Rodrigo duterte anaua watu tena hadharan na Mungu hjmchkua?MUNGU hafkiri na hafanyi km sisi bnadamu!una imani haba sana kwsbb huamini km ata Hayati Magufuli angekuw fundi wa kushona viatu bado angefark trh17 mwez wa 3 mwaka 2021 akiwa na miak 62!SHAME ON YOU!!
 
Wewe mbona una "Parochial Mind"! Ina maana ukiwa kiongozi lazima uamuru watu wauawe kwa hiyo wewe ndio sheria.

Hayo ndio mambo yaliyofanya tumkatae Magufuli na kupelekea Mungu amchukue kwa kuona alikuwa anaangamiza watu wake.

Nchi inatakiwa iongezwe kwa sheria na wala sio kwa amri au matakwa ya mtu mmoja kwani huo ni udikteta na ndio ilikuwa dhana ya Magufuli.

Wewe tukupe uongozi. Utaongoza vipi? Kubadilisha uwezo wa watu kufikiri, kujali nchi yao, Maslahi ya taifa?

Nipe mikakati yako ya ki- democracy italeta positive results, matokeo.
 
Nimeshakwambia kwenye post iliyotangulia.
 
Back
Top Bottom