The Icebreaker
JF-Expert Member
- Feb 11, 2018
- 18,158
- 51,087
Mleta mada Gentamycin tupo pamoja kwa hilo.
Jibwa km ww ni la kuchapa makofi tuMungu tusaidie tusije tukapata tena raisi kama yule.roho mbaya ilimzidi sana.
Well said-"Unless umerogwa ndio unaweza mkumbuka Dhalimu."Mazuri yapi? Mbona so far sijaona kizuri cha kumkumbuka? Kama ni afya mama ameshamuoutshine,elimu naaji ndio usiseme,ajira ndio kabisaa, uchumi mambo ni poa ..
Unless umerogwa ndio unaweza mkumbuka Dhalimu.
Ndio anakwambia mwenzako ilikua mihemko. Sasa anakubali jpm ilikua ni tukio jema kwa tanzania🚶🚶Kwani nini kimetokea jamani???si tulifunga mjadala humu kwamba alikuwa dikiteta!¡!!
Imekuwaje tena
View attachment 1991339
Raha ya sisi binadamu ndio hii sasa,,tunakumbuka mtu akishaondokaNdio anakwambia mwenzako ilikua mihemko. Sasa anakubali jpm ilikua ni tukio jema kwa tanzania
Yule ni mwamba salute kwakeHayati Rais Dkt. John Pombe Joseph Magufuli Asante kwa kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa Kipindi chako chote na leo GENTAMYCINE bila Unafiki nasema Tanzania tarehe 17 March, 2021 tumempoteza "Malaika Maalum' aliyeletwa na Mwenyezi Mungu kuja Kutuamsha Watanzania, Kututhaminisha, Kutuheshimisha, Kutuaminisha na kutuletea Maendeleo ya haraka.
Kutoka Mwezi March 2021 hadi leo hii (Mwezi Oktoba 2021) nimeanza Kuiona Tanzania ya tofauti kabisa ambayo imeanza kurudi nyuma na 'Kusuasua' katika Sekta nyingi na Maeneo mengi hali ambayo imeanza Kunitisha huku Machozi ya Kumbukumbu ya Kuondokewa nae Hayati Rais Dkt. Magufuli yakianza 'Kunibubujika' tena.
Nisamehe Hayati Rais Dkt. Magufuli kwa Kukukosoa Kimihemko, nakukumbuka, nakulilia sana na namuomba Mwenyezi Mungu ailaze Roho yako mahala pema Peponi ila huko Chato ulikolala sasa jua kuwa Viatu vyako bado ni Vikubwa na Vinawapwaya wale waliodhani kuwa aina ya Uongozi wako ulikuwa ni rahisi wakisahau kuwa Umahiri wako wa Kiuongozi uliongozwa ma kutawaliwa zaidi na Kumtanguliza Kwako Mwenyezi Mungu na Malaika wake.
Ninatamani 2025 aje tu Magufuli mpya.
Wazungu wakion kuna raisi ambaye anapingana na wao wanamfanya ili wananchi wake wamuone dikteta mfano Ghdafi,MagufuliKwani nini kimetokea jamani???si tulifunga mjadala humu kwamba alikuwa dikiteta!¡!!
Imekuwaje tena
View attachment 1991339
Nlitofautiana na mwendazake katika nkushindwa kuongeza mishahara kwa miaka yake yote aliyokaa madarakani..kwa Hilo hata aje Nani,.amtetee namna gan lakini sitoweza kumuelewa
Soon you will be giving him a company.Dictator languishing in hell.
Chuma ametuaMsha ,tuliozani hayawezekani ,Sasa yanawezekana,JPM lala Kwa amani
You might be right but I've never killed anybody or ordered anyone killed or even did anything that may warrant such condemnation.Soon you will be giving him a company.
You have never been a leader i guess.You might be right but I've never killed anybody or ordered anyone killed or even did anything that may warrant such condemnation.
Makenge waliokuwa sponsored na Jiwe mwenyewe, sasa hapo tofauti kati yake na wao ni ipi.Kwenye msafara wa mamba, hao walikuwa ni makenge!
Makenge waliokuwa sponsored na Jiwe mwenyewe, sasa hapo tofauti kati yake na wao ni ipi.
Kwa kuwa wao ni kenge naye alikuwa kenge pia.