Nimepokea simu ya ajabu usiku wa kuamkia tarehe 28th December 2011

Hahahaha mchizi muoga wewe..basi kaka naona mapovu yanakutoka,nilikuwa nakujambisha kidogo..kwikwikwikwikwikwi,g9t

Are you serious?Una akili kweli hata moja?Do you know what you‘ve written?
 
Tunawasiwasi na nyendo zako. Inaonekana ww ni mtu wa kona kona nyingi. Kama mtu huyo alipopiga mara ya kwanza ungalipokea unadhan msingelielewana? Simu haikuwa na uajabu wwte,bali umeu create mwenyewe kwa hofu zako na siku nyingine usiogope simu any time la sivyo izime halaf chapa usingizi ..ww c chama cha wasio jiamini bwana...
 
Akili kama zako za mawenge sina,mtt wakiume unaogopa simu,je ungepigiwa na kidumd je?akasema anataka kuku seya

You are just nuts..first you start referring me as feminine when am not..secondly,you come up with a pathetic defense but in the course of doing so you depict how stupid you are,then you go ahead defending your foolishnes kwa kupost some other foolish insults..God should forgive you..
 
wabongo wengi ni vilaza na iq ndogo sana..hiyo ni simu ya kaaida tu sas nashangaa wengine wakisema kuwa ni mapepo akili ndogo hizo .
 
....mie naona hii ni wrong number hivyo huna sababu ya kuwa na wasiwasi, lakini huwezi jua.
 
You are just nuts..first you start referring me as feminine when am not..secondly,you come up with a pathetic defense but in the course of doing so you depict how stupid you are,then you go ahead defending your foolishnes kwa kupost some other foolish insults..God should forgive you..
God should for give u 2
 
Nimewahi,hii ilikuwa ni ya tofauti sana..na kwanini uzime simu kutwa nzima just because umekosea namba?

Sikiliza kijana, kuna kitu inaitwa "calling cards" hawa watu wanaokaa nje wanazijuwa hizi, na watu wenye watu wao huko nje wanaopigiwa simu na hawa, huwa wanazijuwa pia. Hizi company za calling cards, hutumia a combination ya landlines, mobile (wireless lines) na VOIP (voice over internet protocol), wanatumia combination hizo kupata urahisi wa ku provide hizo service na kuzifanya Intenational Calls kuwa cheaper.

Inategemea na huyo aliekupigia simu (kwa kukosea namba kwa kuwa humjuwi) alitumia "calling card" ipi kutoka huko nje, na ikifika hapa hutumia mtandao (wowote ule waliokuwa na mikataba nayo) na hizo namba za simu ni namba zinazotumika kwa simu za kuingia tu (leased lines) (kutoka mtandao wa hapa local wenye mkataba na hao service providers wa calling cards). Kwa kuwa hizo namba zimekuwa programmed kuingia tu na si kupokea simu, kwa hiyo hata ufanye nini, saa 24 utapata "Busy tone" na ikitokea kwa bahati ukiipiga ukapata "ringing tone" basi hakuna ataekujibu.

Hebu wacha ujinga. Hakuna ajabu hapo wala muujiza hapo. Hiyo ni namba ya Tanzania tena ni mtandao wa TiGo kama sikosei, lakini inatumika kwa kupokea tu simu za kutoka nje (most probably) via VOIP.

Landline or mobile from caller, via VOIP at calling city or country via server (of Calling Card SP), via local SP (Tigo or anyone else) thru dedicated leased lines to your phone. That is how the call route is or similar. Hakuna cha ajabu hapo, ajabu niionayo ni ujinga wa aliyepigiwa kuona huu ni muujiza. Ama kweli Watanzania tupo kwenye pachupachu za dunia.

Inastaajabisha sana kuona mtu anaejiita "learned" kuto kuelewa mambo madogo kama haya, ndio maana hatuendelei ikiwa ma "learned" wetu ni sampuli hii.
 
Acha uongo..., details ulizotoa hazihusiani kabisa na calling cards,, na mara nyingi calling cards kama haitaonesha base line number basi itaonesha anonymous caller,,

Na ww una kila dalili upo/umeishi UK au US maana huko ndo famous kwa hayo ma-card
 
Faiza is telling the truth... hata wanaopigia far east, sometimes inatokea namba ya nyumbani kumbe wametumia mtandao na access kama FF alivyosema

sio kila kitu kubisha.... we do that all the time
 
Sikiliza kijana, kuna kitu inaitwa "calling cards" hawa watu wanaokaa nje wanazijuwa hizi, na watu wenye watu wao huko nje wanaopigiwa simu na hawa, huwa wanazijuwa pia. Hizi company za calling cards, hutumia a combination ya landlines, mobile (wireless lines) na VOIP (voice over internet protocol), wanatumia combination hizo kupata urahisi wa ku provide hizo service na kuzifanya Intenational Calls kuwa cheaper.

Inategemea na huyo aliekupigia simu (kwa kukosea namba kwa kuwa humjuwi) alitumia "calling card" ipi kutoka huko nje, na ikifika hapa hutumia mtandao (wowote ule waliokuwa na mikataba nayo) na hizo namba za simu ni namba zinazotumika kwa simu za kuingia tu (leased lines) (kutoka mtandao wa hapa local wenye mkataba na hao service providers wa calling cards). Kwa kuwa hizo namba zimekuwa programmed kuingia tu na si kupokea simu, kwa hiyo hata ufanye nini, saa 24 utapata "Busy tone" na ikitokea kwa bahati ukiipiga ukapata "ringing tone" basi hakuna ataekujibu.

Hebu wacha ujinga. Hakuna ajabu hapo wala muujiza hapo. Hiyo ni namba ya Tanzania tena ni mtandao wa TiGo kama sikosei, lakini inatumika kwa kupokea tu simu za kutoka nje (most probably) via VOIP.

Landline or mobile from caller, via VOIP at calling city or country via server (of Calling Card SP), via local SP (Tigo or anyone else) thru dedicated leased lines to your phone. That is how the call route is or similar. Hakuna cha ajabu hapo, ajabu niionayo ni ujinga wa aliyepigiwa kuona huu ni muujiza. Ama kweli Watanzania tupo kwenye pachupachu za dunia.

Inastaajabisha sana kuona mtu anaejiita "learned" kuto kuelewa mambo madogo kama haya, ndio maana hatuendelei ikiwa ma "learned" wetu ni sampuli hii.

wawe tayari kukusikiliza sasa, maana wengine wako learned
 
Acha ujuaji..hiyo ni namba ya airtel na sio tigo.Halafu nimepokea simu nyingi za kupitia calling cards kama unavosema lakini huwa at least zinaonesha base.Pia,it has never occured to me before kwamba airtel wana makubaliano/contract ya dizaini hiyo.Halafu you‘ve made mockery of my id wkt we mwnyw ni laywoman tu
 
Acha uongo..., details ulizotoa hazihusiani kabisa na calling cards,, na mara nyingi calling cards kama haitaonesha base line number basi itaonesha anonymous caller,,

Na ww una kila dalili upo/umeishi UK au US maana huko ndo famous kwa hayo ma-card

Inaonesha hukijuwi unachokiongea, kwa hiyo unataka kusema kapigiwa na Mariam Mama wa Yesu au sio?
 
Acha ujuaji..hiyo ni namba ya airtel na sio tigo.Halafu nimepokea simu nyingi za kupitia calling cards kama unavosema lakini huwa at least zinaonesha base.Pia,it has never occured to me before kwamba airtel wana makubaliano/contract ya dizaini hiyo.Halafu you‘ve made mockery of my id wkt we mwnyw ni laywoman tu

Nimekuambia TiGo "kama sikosei".

Wewe unaijuwa mikataba yote ya kampuni za simu.

Sikufanya "mockery" nimekueleza ukweli na hivyo ndivyo ilivyo. Kwa kuwa mawazo yako mgando umeshayahusisha na Mariam, bado akili yako haitaki kuuamini ukweli. Hivi nini haswa ambacho hujakielewa? au kama unajuwa hiyo ni namba ya Airtel ni nini cha ajabu? Kwanza mara usiku mara alfajiri. Hivi kwanini mnakuwa na ufinyu wa kuelewa? unataka tukuambie nini?

1) Tukuambie umepigiwe simu na Mariam Mama wa Yesu (Bikira Maria)?

2) Tukuambie umepigiwa simu na majinni?

3) Tukuambie umepigiwa na "UFO"?

Unaambiwa hayo ni mambo ya kawaida na kama humjuwi aliyekupigia na hata lugha yake huijui basi ni "wrong number". Bado tu unang'ang'ania. Unataka kutuaminisha nini zaidi ya kutaka kutujaza ujinga?

Kuna kampuni za calling cards karibu kila kontinenti na si UK tu na USA, hata hapa Tanzania zipo, utazijuwaje kama huna mazoea ya kupiga International Calls? Unanshangaza!

Kampuni nyingi sana za nje ukipigiwa via "calling cards" unaipata kama "local call", hii ni mara nyingi tu na nnakuambia hivyo kwa sababu mimi nnapigiwa simu nyingi za nje na hivyo ndivyo inavyokuwa. Hata juzi nimepokea simu ya mtu kutoka India hapa kwangu inaonesha "local call" tena hizo hizo za Airtel.
 
Back
Top Bottom