Nimepokea simu ya ajabu usiku wa kuamkia tarehe 28th December 2011

Acha kuleta udini.Ukiacha mariam unayemtaja wewe,Mariam ni jina tu la kawaida linatumika na watu tofauti duniani. Na mimi sjasema mama yake Mungu kanipigia simu so usiharibu habari. Nlichosema ni kuwa yeye kajiita mariam.

Namba yake ni 068578677x

Tatizo lako hujiamini mi nahisi kuna kitu umefanya sasa roho inahangaika
 
Tatizo lako hujiamini mi nahisi kuna kitu umefanya sasa roho inahangaika

Si kuwa sijiamini,unaweza sema roho inahangaika sawa lakini laiti ungemsikia hata wewe ungejiuliza mara tatu tatu..jinsi alivokuwa anaongea sijapata picha kama kuna mtu nnayemfahamu anaongea vile
 
Nazingua nini bibie?

Jamani mods si mnaona wenyewe nnavotukanwa afu mnakaa kimya tu? Huyu bwana ananiita mi demu tangu mwanzo nimemwambia mi sio miss anaendelea tuu!!!!

We boya nimekwambia mimi sio demu acha uboya!!Unantaftia ban tu hapa saivi nkutukane nipigwe ban MI SIO DEMU NI KIDUME! We endelea kuniita bibie nikuripoti kwa mods..
 
Hee mbona umekuwa mkali ghafla wakati unahitaji ushauri
 
Kwanza, wewe husemi kweli.

Unalea hadithi za kufikirika. Kama u mkweli tuwekee hiyo namba ya kiajabu.

Mariam ni mama yake Yesu (AS), Jee, kuna Mkristo anaeamini kuwa Jina la Mama yake Mungu likampigia mtu simu za kiajabu
Tafadhali sana, kuwa mkweli. Usicheze na majina haya makubwa.
You are truly "Some piece of work"
 
Mimi ni mtu mzima na nnazijuwa hadithi za kusadikika, wapelekee watoto wenzako huko, cha ajabu nini sasa?

Nashkuru, i wish ningekuwa na namna ya kukufanya uelewe na kuamini,lakini kwa kuwa umeamua kuufanya moyo wako mgumu sina namna ya kukusaidia,but this is real,i wish ningekupa namba ya huyo mtu umtafute-japo kwa sasa haipatikani tangu mchana!!
Halafu umejifunzia wapi ubishi ff?Mwalimu wako anastahili tuzo,unaweza kubishana na upepo wewe!
 
Wadau naombeni maoni/ ushauri wenu kuhusu hii simu nlopokea-ni kisa cha ukweli sio mzaha.
Ilipigwa zaidi ya mara kumi usiku kucha kuanzia saa saba.Ni namba ngeni(haikuandika jina) na sikupokea kwa sababu ni namba ngeni halafu ni usiku wa manane.
Mpigaji akaendelea kupiga tuuu mpaka mnamo saa kumi na moja alfajiri nliposhawishika kuipokea..mazungumzo yalikuwa kama ifuatavyo.
Yeye: (kwa hasira sana na kwa lafudhi ya kiswahili isiyo dhahiri ya kitanzania) hivi unajuaga sitaki mtu muongo wewe?
Mimi: kwani we nani na unasemaje?
Yeye; mi mariamu,kwani we nani?Unasemaje?
Mimi:nikuulize wewe ambaye umenipigia usiku kucha kwa namba ngeni
Yeye: (matusi makali sana hayaandikiki hapa) kisha akabadilisha lugha na kuzungumza lugha ambayo siifahamu kabisa.
Mimi:haloo,sikuelewi lugha unayotumia
Yeye:akakata simu(au ilikatika yenyewe)

Nilitamani kumpigia lakini sikuwa nahela kwny simu zangu zote..ila tangu mchana nimejaribu kupiga simu haipatikani.
Sa najiuliza sjui ni nani na sjui alitaka nini kwangu..najiuliza sjui niweke namba yenyewe hapa ili mnisaidie kuitrace? Ni ya airtel.[/QUOTE

Ni mapepo hayo mkuu, kemea yataisha! usiwape watu kama hao chance ya kumpigia ndiyo atakudakisha hayo mapepo yake. acha apige yeye mwenye shda.
 
Nimewaza at some point..sa kwann azime simu yake siku nzima baada ya hapo?Si ningepiga angegundua na kusema tu kuwa alikosea namba?
 
Jamani mods si mnaona wenyewe nnavotukanwa afu mnakaa kimya tu? Huyu bwana ananiita mi demu tangu mwanzo nimemwambia mi sio miss anaendelea tuu!!!!

We boya nimekwambia mimi sio demu acha uboya!!Unantaftia ban tu hapa saivi nkutukane nipigwe ban MI SIO DEMU NI KIDUME! We endelea kuniita bibie nikuripoti kwa mods..
Hahahaha mchizi muoga wewe..basi kaka naona mapovu yanakutoka,nilikuwa nakujambisha kidogo..kwikwikwikwikwikwi,g9t
 
Back
Top Bottom