Nimepokea simu ya ajabu usiku wa kuamkia tarehe 28th December 2011

The Dude

JF-Expert Member
Sep 14, 2011
1,029
453
Wadau naombeni maoni/ ushauri wenu kuhusu hii simu nlopokea-ni kisa cha ukweli sio mzaha.
Ilipigwa zaidi ya mara kumi usiku kucha kuanzia saa saba.Ni namba ngeni(haikuandika jina) na sikupokea kwa sababu ni namba ngeni halafu ni usiku wa manane.
Mpigaji akaendelea kupiga tuuu mpaka mnamo saa kumi na moja alfajiri nliposhawishika kuipokea..mazungumzo yalikuwa kama ifuatavyo.
Yeye: (kwa hasira sana na kwa lafudhi ya kiswahili isiyo dhahiri ya kitanzania) hivi unajuaga sitaki mtu muongo wewe?
Mimi: kwani we nani na unasemaje?
Yeye; mi mariamu,kwani we nani?Unasemaje?
Mimi:nikuulize wewe ambaye umenipigia usiku kucha kwa namba ngeni
Yeye: (matusi makali sana hayaandikiki hapa) kisha akabadilisha lugha na kuzungumza lugha ambayo siifahamu kabisa.
Mimi:haloo,sikuelewi lugha unayotumia
Yeye:akakata simu(au ilikatika yenyewe)

Nilitamani kumpigia lakini sikuwa nahela kwny simu zangu zote..ila tangu mchana nimejaribu kupiga simu haipatikani.
Sa najiuliza sjui ni nani na sjui alitaka nini kwangu..najiuliza sjui niweke namba yenyewe hapa ili mnisaidie kuitrace? Ni ya airtel.
 
kwani alitamka jina lako huyo alikosea namba kwa hiyo acha uwoga au kuna kitu umefanya kwa hiyo unakaa roho juu
 
Wrong number. Si unaona ameongea lugha ambayo huielewi, na maneno yake huyaelewi? Potezea tu.
 
We boya kumbe?kwani mtu akitoka nje?sianachaguwa mtandao anao utaka?au umenielewa vp?miss?

First of all,wat do you mean miss?am not a ‘miss‘..am a dude.
Afu pili,i thought u meant she was calling from US..
 
Wadau naombeni maoni/ ushauri wenu kuhusu hii simu nlopokea-ni kisa cha ukweli sio mzaha.
Ilipigwa zaidi ya mara kumi usiku kucha kuanzia saa saba.Ni namba ngeni(haikuandika jina) na sikupokea kwa sababu ni namba ngeni halafu ni usiku wa manane.
Mpigaji akaendelea kupiga tuuu mpaka mnamo saa kumi na moja alfajiri nliposhawishika kuipokea..mazungumzo yalikuwa kama ifuatavyo.
Yeye: (kwa hasira sana na kwa lafudhi ya kiswahili isiyo dhahiri ya kitanzania) hivi unajuaga sitaki mtu muongo wewe?
Mimi: kwani we nani na unasemaje?
Yeye; mi mariamu,kwani we nani?Unasemaje?
Mimi:nikuulize wewe ambaye umenipigia usiku kucha kwa namba ngeni
Yeye: (matusi makali sana hayaandikiki hapa) kisha akabadilisha lugha na kuzungumza lugha ambayo siifahamu kabisa.
Mimi:haloo,sikuelewi lugha unayotumia
Yeye:akakata simu(au ilikatika yenyewe)

Nilitamani kumpigia lakini sikuwa nahela kwny simu zangu zote..ila tangu mchana nimejaribu kupiga simu haipatikani.
Sa najiuliza sjui ni nani na sjui alitaka nini kwangu..najiuliza sjui niweke namba yenyewe hapa ili mnisaidie kuitrace? Ni ya airtel.

Kwanza, wewe husemi kweli.

Unalea hadithi za kufikirika. Kama u mkweli tuwekee hiyo namba ya kiajabu.

Mariam ni mama yake Yesu (AS), Jee, kuna Mkristo anaeamini kuwa Jina la Mama yake Mungu likampigia mtu simu za kiajabu?

Tafadhali sana, kuwa mkweli. Usicheze na majina haya makubwa.
 
Acha kuleta udini.Ukiacha mariam unayemtaja wewe,Mariam ni jina tu la kawaida linatumika na watu tofauti duniani. Na mimi sjasema mama yake Mungu kanipigia simu so usiharibu habari. Nlichosema ni kuwa yeye kajiita mariam.

Namba yake ni 068578677x
 
Wewe muongo. Huna jipya. Hiyo namba ina uajabu upi?
 
Acha kuleta udini.Ukiacha mariam unayemtaja wewe,Mariam ni jina tu la kawaida linatumika na watu tofauti duniani. Na mimi sjasema mama yake Mungu kanipigia simu so usiharibu habari. Nlichosema ni kuwa yeye kajiita mariam.

Namba yake ni 068578677x
Huyo Faiza Foxy anapenda rigi kama nini
 
Back
Top Bottom