Seran
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 32,173
- 92,738
We na yule mbili kasorobo mna tofauti gani mpk niumie kiroho😅Ila najua hapo karoho kamekuuma Ila Ndo hvy unakaza, mama labla unaona hii nyau?
We na yule mbili kasorobo mna tofauti gani mpk niumie kiroho😅Ila najua hapo karoho kamekuuma Ila Ndo hvy unakaza, mama labla unaona hii nyau?
Sasa kama wenye nchi wametunyima amani si walau tuwe nayo ya kwetu basi 😁😹😹😹 Nchi yenyewe haina amani sisi amani tuipate wapi??
Wemzako wanaandaa nyuzi wewe unakuja direct, utasanda 😆JNtumie kwenye ile namba kesho nile Ht mihogo
Au wewe ndiyo yule dada wa dukuduku na hatujui 😆Si mtoe madukuduku mioyo itulie sio kubwatuka na kuugulia moyoni aiseee 😹😹😹😹
Chambaneni kila mmoja amuheshimu mwenzie..!! Ila ushoga wa JF JAU SANA’A 😹
Kwahiyo mwenzenu kakomaa mbibi 😹😹 khaaaaa…!!
Kumbe mlikuwa mmekubuhu! Kwahiyo wa sasa wanajifunza😆
Kabisa!!
Moyo unataka kusuma mapenzi sio😂
Itabidi achangamke tule pilau dec kmmk😂
Bali .........La hasha…
Ila najua hapo karoho kamekuuma Ila Ndo hvy unakaza, mama labla unaona hii nyau?
Hebu hapa ngoja niweke kizuizi.Bali .........
Au bora unipe mm 🥱Haiwezekani kabisa, bora nijibake aiseeh, kuliko kuwa na jitu la hovyo hivyo!
😹😹😹 Wala hakuna code mambo ni yale yale ya kila siku, kubebeana mabwana na kila mmoja kutaka kuonekana yuko juu kuzidi mwenzie.. na urafiki wa kingese ndo chanzo kikuu 😹
Kadada kachawi sana hako 😂
Naona siku hizi simuoni sanaYule yupo sis
Nimetoka kumtaja majuzi tu hapa kwenye uzi fulani
Yule sasa ndio nyongo mkalia ini lakini hanitakagi
Last seen yake 26 mins ago 🤨
Hamia upande wa pili, halafu humu mabint wabichi wapo kibao wanahaha huko, wewe umenikazania mimi singo maza! Au nawe kila ukijaribu hawakutaki huna mia? Huna tofauti na psl good😂Ti waviStage niliyofikia n mbaya, au ubavu wangu wa kushoto ni Single mothers na mm siwataki hao watu?
😁😁 Hii ndio ile unatupa ndoano uvue samaki unanasa chura au nyokaKwenye kujaribu kuna kukosa 😂
Nilishakwambia ba mjengo ana bastola, utapigwa risasi ya katikati ya makalio, upate kilema cha maisha!Au bora unipe mm 🥱
Imeisha, ww n muelewa ndo mana naona watoto wangu wakicheza kwenye uterus yako 😎Sasa baba labla
Nipe dakika 0 nalala 😎
Naona siku hizi simuoni sana
Ila ana matatizo kwa nini hakutaki?
Anyway it's his loss 🤣🤣
I wish ningekuwepo zamani nahisi kama ningeparticipate vzr, sasa hivi nina adabu kidogo na mambo niyapendayo siyapati😎Wa sasa wapo TWISHENI
Wahenga wa vikundi enzi zile sio wa kitoto 😂
Hahahaha aisee moyo wako ni mkuu, mimi wangu unasukuma umbea at the moment🤣Moyo unasukuma maloveee tu kmmk 😂