Ushimen
Platinum Member
- Oct 24, 2012
- 44,340
- 111,566
Duhh....[emoji45] [emoji45] [emoji45]Nilihisi utakuwa Arusha wana huo mchezo balaa,nliteseka sana kipindi cha nyuma nkaenda kupewa dawa na baba mmoja hivi wa Kiarusha,ndo nkapona
Duhh....[emoji45] [emoji45] [emoji45]Nilihisi utakuwa Arusha wana huo mchezo balaa,nliteseka sana kipindi cha nyuma nkaenda kupewa dawa na baba mmoja hivi wa Kiarusha,ndo nkapona
Aiseee......[emoji47] [emoji47] [emoji47]Kwakweli sijayafikira huko kwani ninakumbuka ukishaemewa matabano unaanza kucheuwa watalaamu wanajua mambo fresh
Kuhemewa matabano ndio kufanywa nini mkuu?Kwakweli sijayafikira huko kwani ninakumbuka ukishaemewa matabano unaanza kucheuwa watalaamu wanajua mambo fresh
Comrade mambo ya home lazima utajueToba....[emoji87] [emoji87] [emoji87]
Comrade......[emoji39] [emoji47] [emoji47]
Kumbe nawe si wamchezo eeehhhh....[emoji12]
Kusemewa matabanoKuhemewa matabano ndio kufanywa nini mkuu?
Hii lugha yetu kumbe ni pana sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Maneno ya kuagulia
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Maneno ya kuagulia
du!Dawa ya zongo ipo upareni bana...inatwa dawa ya jiwe pia wenyeji huiita makata japo si jina rasmi sana..ni ya unga wa chumvichumvi ina kaukakasi fulanihivi..wasiliana na watu wa upareni watakusaidia.
Au ogea maji yaliyochanjwa na matunda ya ndulele weka kama matunda 6 hivi koroga kwa nguvu hadi itoe povu jingi kisha ogea hayo maji kwisha kazi..
Mi sio mtaalamu wa haya mambo na ndiyo maana nikakwambia uende tanga kwenye wataalamu,ila tatizo ushaanza kupinga jambo ambalo bado hata hujalielewa vizuri unafikiri itakuaje?Ingependeza kama ningepata maelezo mazuri kutoka kwako
Mara nyingi ninaposikia habari zenye utata kama hizi ( uchawi) kutoka kwa mtu huwa ana refer to 3rd person yeye huwa hana
Either nilisimuliwa au kuna mtu alishuhudia
Sent using Jamii Forums mobile app
Dawa ya zongo ipo upareni bana...inatwa dawa ya jiwe pia wenyeji huiita makata japo si jina rasmi sana..ni ya unga wa chumvichumvi ina kaukakasi fulanihivi..wasiliana na watu wa upareni watakusaidia.
Au ogea maji yaliyochanjwa na matunda ya ndulele weka kama matunda 6 hivi koroga kwa nguvu hadi itoe povu jingi kisha ogea hayo maji kwisha kazi..