Nimepigwa zongo wakati nikila chakula

Nimepigwa zongo wakati nikila chakula

Dawa ya zongo makata na zongo haliwezi kukaa zaidi ya saa 72

Sent using Jamii Forums mobile app

Mkuu wiki lilikaa,nikicheua harufu kama ya mzoga si mzoga,nimevimberwa,tumbo ndi ndi ndio!!! Kula sili,nimeshiba muda wote,chai hata nusu kikombe kinanishinda,choo kinanuka,Rangi mbaya kama utumbo wa Samaki chafi/tasi aliyevuliwa na kukaa bila barafu muda mrefu. Maumivu yake sasa

Makata ndio yakanisaidia sana,hadi leo nina kajichupa kake!!
 
Mkuu hujawahi hujawahi pigwa zongo,Mimi na miaka yangu mingi sikuwahi,ila mwaka jana June nikatembea pahali,wiki nzima niliteseka,nikawa sijui kama ni zongo,hangaika hadi dawa za dukani,kuna mwenyeji akanirambisha tu tuunga tweupe,inatokana na jiwe la mwamba wa mawe,nilipona ndani ya siku 2 na nikanunua kichupa cha dawa,ninacho tu kwa dharura!!
Huo unga unaitwa "usembe" kazi yake ni ku hypnotize, ukibwia lazima ulewe na kama ni mchawi utaropoka vyote! cc mshana jr

Mi siamini zongo na pengine walijaribu wakashindwa. Usiulize kwa nini.
 
Dawa ya zongo ipo upareni bana...inatwa dawa ya jiwe pia wenyeji huiita makata japo si jina rasmi sana..ni ya unga wa chumvichumvi ina kaukakasi fulanihivi..wasiliana na watu wa upareni watakusaidia.
Au ogea maji yaliyochanjwa na matunda ya ndulele weka kama matunda 6 hivi koroga kwa nguvu hadi itoe povu jingi kisha ogea hayo maji kwisha kazi..
Asante... Ngoja ni iperform nitaleta mrejesho. Kaka wilbald

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu wiki lilikaa,nikicheua harufu kama ya mzoga si mzoga,nimevimberwa,tumbo ndi ndi ndio!!! Kula sili,nimeshiba muda wote,chai hata nusu kikombe kinanishinda,choo kinanuka,Rangi mbaya kama utumbo wa Samaki chafi/tasi aliyevuliwa na kukaa bila barafu muda mrefu. Maumivu yake sasa

Makata ndio yakanisaidia sana,hadi leo nina kajichupa kake!!
Mkuu makata ndio nini na ulikuwa inatumiaje? Ni dawa gani na inapatikanaje?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mi sio mtaalamu wa haya mambo na ndiyo maana nikakwambia uende tanga kwenye wataalamu,ila tatizo ushaanza kupinga jambo ambalo bado hata hujalielewa vizuri unafikiri itakuaje?
Wewe ni mtaalam wa nn? Unaonekana uko vzr kwenye sector yako, huwa siwezi kukubali tu kitu bila kuwa na ushahidi wa kimantiki

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ninahitaji msaada wa kitaalamu juu ya hili tatizo kwani linanisumbua sana na pia linaweza kumpata mtu bila kujua kwani huwa katika mazingira usiyoweza kuyaona kwa macho.

Hivyo kwa mtu yeyote anayefaamu kautaalamu kakutegua afanye kweli kuokoa jahazi. Siku hizi kila kona ni mawindoni

Sent using Jamii Forums mobile app
Huku yupo mtaalamu tatizo lake anatibu kinamama tu.
 
Nakumbuka Mpanda Katavi bibi alikuaga anakata bomba la mpapai anatuwekea kwenye njia ya haja kubwa.
Then anajaza dawa mdomoni anapulizia kwenye hilo bomba.
Maumivu yake, nilikua nalia sana.
Lakini baada ya hapo napona kabisa.
Sasa hii si ni sawasawa na kuingiliwa kinyume na maumbile mkuu.
Tena bibi anakupulizia na hayo madawa kwa ndani[emoji85]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ninahitaji msaada wa kitaalamu juu ya hili tatizo kwani linanisumbua sana na pia linaweza kumpata mtu bila kujua kwani huwa katika mazingira usiyoweza kuyaona kwa macho.

Hivyo kwa mtu yeyote anayefaamu kautaalamu kakutegua afanye kweli kuokoa jahazi. Siku hizi kila kona ni mawindoni

Sent using Jamii Forums mobile app
Daah inabidi upakuliwe mkuu..
 
Mkuu makata ndio nini na ulikuwa inatumiaje? Ni dawa gani na inapatikanaje?

Sent using Jamii Forums mobile app

Mkuu huku kwetu Tanga iko,sehemu chache ila si adimu sana ukiisaka,ni dawa nzuri sana kwa zongo, unaramba na kumumucha unga unga wake. Ila unaweza kuweka kwenye maji ya uvugu vugu kiasi na kunywa.

Ni dawa ya asili,sio kemikali,inatokana na jiwe maalumu la miamba!!
 
Attachments

  • IMG_20170726_222041.jpg
    IMG_20170726_222041.jpg
    74 KB · Views: 118
Mkuu wiki lilikaa,nikicheua harufu kama ya mzoga si mzoga,nimevimberwa,tumbo ndi ndi ndio!!! Kula sili,nimeshiba muda wote,chai hata nusu kikombe kinanishinda,choo kinanuka,Rangi mbaya kama utumbo wa Samaki chafi/tasi aliyevuliwa na kukaa bila barafu muda mrefu. Maumivu yake sasa

Makata ndio yakanisaidia sana,hadi leo nina kajichupa kake!!
Hilo zongo ni lile linaitwa komesha, ni kweli kabisa hizozote ni dalili za zongo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom