MLA PANYA SWANGA
JF-Expert Member
- Jul 31, 2015
- 5,186
- 5,454
Achukue jiwe la kusagia ulezi asugue tumbo alama ya msalaba atapona [emoji3]Ni uchawi tumbo linajaa hewa na hupati choo wala hujambi
Sent using Jamii Forums mobile app
Achukue jiwe la kusagia ulezi asugue tumbo alama ya msalaba atapona [emoji3]Ni uchawi tumbo linajaa hewa na hupati choo wala hujambi
Mkuu nitumie hilo ZONGO tumalize ubishiUpo sahihi kuwa hivyo ila tofauti hapa ni kwamba umeanza kukataa kitu bila hata kukielewa hicho kitu.
Hiyo ni moja ya aina za zongo, ziko aina kibao. Ni style fulani ya kuchezeana hivi. Kuna dogo mmoja alipigwa ya homa kama malaria hivi, ilikuwa siku ya msiba wa baba yake. Ilikuwa Korogwe. Wazee wakamchana fagio lenye mate akapona. Mara nyingi hupigana wanaofahamiana kiasi,na hasa ukiwa mgeni.Ni uchawi tumbo linajaa hewa na hupati choo wala hujambi
Nilishakwambia kuwa mie sio mtaalamu wa hayo mambo sasa iweje tena unaniambia nikutumie hilo zongo ambalo hauliewi?Mkuu nitumie hilo ZONGO tumalize ubishi
Knowledge yangu ndogo kwenye medical field nitaitumia nitapona bila hayo mazingaumbwe yenu ya kichawi
Sent using Jamii Forums mobile app
Ushaambiwa ni ugonjwa unaosabaishwa kimazingara kwa kutumia macho, Tumbo linajaa gas, unakosa hamu ya kula kazi ni kucheua tu na wakati mwingine kujamba, tumbo linakuwa kubwa na gumu na wakati mwingine likiandamana na maumivu, wakati mwingine unaweza kosa choo kubwa hata siku tatu.
Tafuta matunda yanaitwa ndulele yachome , mvuke jifukishe nao. Au majivu yake jipake.Ninahitaji msaada wa kitaalamu juu ya hili tatizo kwani linanisumbua sana na pia linaweza kumpata mtu bila kujua kwani huwa katika mazingira usiyoweza kuyaona kwa macho.
Hivyo kwa mtu yeyote anayefaamu kautaalamu kakutegua afanye kweli kuokoa jahazi. Siku hizi kila kona ni mawindoni
Sent using Jamii Forums mobile app
Ki ukweli nimecheka.ndio kwanza naisikia leoNi uchawi tumbo linajaa hewa na hupati choo wala hujambi
Kaka hiyo ntaipataje??Mkuu huku kwetu Tanga iko,sehemu chache ila si adimu sana ukiisaka,ni dawa nzuri sana kwa zongo, unaramba na kumumucha unga unga wake. Ila unaweza kuweka kwenye maji ya uvugu vugu kiasi na kunywa.
Ni dawa ya asili,sio kemikali,inatokana na jiwe maalumu la miamba!!
Mshana hyo zongo ndio ile kule kwetu wanasema "Mwana agerwa cha ndeni"?
Vinafanana hasaMshana hyo zongo ndio ile kule kwetu wanasema "Mwana agerwa cha ndeni"?
Dawa yake ndogo sana. Lipake Tumbo mafuta ya nguruwe kisha sugua tumbo na sabuni ya magadi pamoja na maji ya ubuguvugu. Hutaliona LIVE ila wakati linatoka utahisi umeshika vimawe vidogo au changarawe kama umetupiwa na mwanamkeNi uchawi tumbo linajaa hewa na hupati choo wala hujambi
Huu uzi unahusu watu wenye elimu ndogo kuanzia std 7 tena ambao wanaishi uswahiliniDah! Na kiwango changu chote cha ufahamu sijaweza kuelewa uzi huu unazungumzia nini. Naona wenzangu mmeelewa naomba mnisaidie kufafanua.