Nimepigwa zongo wakati nikila chakula

Nimepigwa zongo wakati nikila chakula

wilbrod

Member
Joined
Apr 15, 2014
Posts
70
Reaction score
22
Ninahitaji msaada wa kitaalamu juu ya hili tatizo kwani linanisumbua sana na pia linaweza kumpata mtu bila kujua kwani huwa katika mazingira usiyoweza kuyaona kwa macho.

Hivyo kwa mtu yeyote anayefaamu kautaalamu kakutegua afanye kweli kuokoa jahazi. Siku hizi kila kona ni mawindoni

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwakweli sijayafikira huko kwani ninakumbuka ukishaemewa matabano unaanza kucheuwa watalaamu wanajua mambo fresh
'Kuemewa matabano' ndio tiba? Mimi ndio kwanza nimesikia leo hii habari, ila nadhan siyo uchawi ni tatizo tu la kitaalam probably ni flatulence, intestinal obstruction or whatever yenye symptoms za aina hyo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nenda Tanga huko ndiyo kuna wataalamu wa hayo mambo watakupa maelezo uzuri kabisa.
Ingependeza kama ningepata maelezo mazuri kutoka kwako

Mara nyingi ninaposikia habari zenye utata kama hizi ( uchawi) kutoka kwa mtu huwa ana refer to 3rd person yeye huwa hana

Either nilisimuliwa au kuna mtu alishuhudia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Likemee kwa jina la Yesu nilifundishwa matabanio ya zongo long time kitambo ila siyakumbuki, bush ilikuwa tukienda wakituona. Watoto wa town tunacheza na sandals zongo ilikuwa salamu, tulifundiswa jinsi ya kulitoa ukiona hali ni mbaya
Amigo....
Mbona haujamalizia....[emoji2] [emoji2]
Akiona hali ni mbaya, akusemeshe pm...[emoji85] [emoji85]
[emoji125] [emoji125] [emoji125]
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom