kibobez
Senior Member
- Jun 23, 2017
- 177
- 217
Nakumbuka Mpanda Katavi bibi alikuaga anakata bomba la mpapai anatuwekea kwenye njia ya haja kubwa.
Then anajaza dawa mdomoni anapulizia kwenye hilo bomba.
Maumivu yake, nilikua nalia sana.
Lakini baada ya hapo napona kabisa.
Haha mkuu mpanda sehemu gani makanyagio,kawajense au majengo