Nimepigwa na butwaa

Nimepigwa na butwaa

Uchungu wa kuzaa au mateso ya kulea kwako??
Wa kuzaa staki mke hapo badae apitie yale machungu aiseee ...
Maana mi nikipenda huwa najiona nipo connected na yule mtu mpaka maumivu tuna share so staki hilo.jambo.nilione mara kumi tula adapt mtoto
 
Wasalam wakuu.

Katika hali ya kushtukiza na kuchanganya leo hii nimekuta application ya jf kwa simu ya mama..

I don't know ni nani kamwekea hii application au imekuaje kuaje.

Nimeshindwa hata kuifungua ila nime unstaill aiseee....

Yaani imekuaje kuaje wakuu..
Humu ndani humu umakini unatakiwa wa kutosha aiseee

Bado najiuliza kama anatumia jf au laah..
Nimepigwa na butwaa...

Wakuu mjiheshimu kuna watu mna assume ni mtu flani.. nimesema sijajua kama kajiunga au laa
Nikusaidie kidogo. Je kama alijiunga JF toka 2006 mpaka leo ni miaka 19. chukua miaka yako toa na 19 ndiyo ujue kwanini anayo application ya JF
 
Mkuu hapa nataka niongee na mdogo angu nijue je ni yeye kaweka au ni nani..

Alafu nifatilie je huwa ana log in au anaangalia habari mbali mbali
Hacha kufuatilia mambo ya mama yako, utajaona makubwa zaidi. Mama ana umri gani kwani?
 
Kweli Poor Brain, we ulidhani humu JF tupo vijana tu au? 😀 mbona kuna watu wazima tu na wanasoma threads zetu vizuri tu.
Kumfuatilia mama yako ni kumkosea adabu. Kuna baadhi ya vitu vijana uvipenda huku wakijua kuwa watu wazima au wazee hawaipendi, kumbe nao huvifanya kwa uficho.

Kwa mfano ukafuatilia ID yake, ukagundua kuwa mlishawahi kuwekeana mbango kwenye mada fulani kwenye jukwaa la Mahusiano na Mapenzi, na mwisho wake mkatukanana. Utajisikiaje?
Ana haki ya kuwa huru na mambo yake.
 
Nikusaidie kidogo. Je kama alijiunga JF toka 2006 mpaka leo ni miaka 19. chukua miaka yako toa na 19 ndiyo ujue kwanini anayo application ya JF
Wee una matusi ya reja reja sio
 
Kumfuatilia mama yako ni kumkosea adabu. Kuna baadhi ya vitu vijana uvipenda huku wakijua kuwa watu wazima au wazee hawaipendi, kumbe nao huvifanya kwa uficho.

Kwa mfano ukafuatilia ID yake, ukagundua kuwa mlishawahi kuwekeana mbango kwenye mada fulani kwenye jukwaa la Mahusiano na Mapenzi, na mwisho wake mkatukanana. Utajisikiaje?
Ana haki ya kuwa huru na mambo yake.
Mkuu nimekuelewa na naapa kutorudia
 
Back
Top Bottom