Nimepigwa na butwaa

Mama yako sindiyo huyu mshangazi hapa jf au ujui ...hua anasema analitoto zero brain linawaza mademu 24hours
 
Mama mzazi mkuu...
Leo nipo hapa namsindikiza akasema kuna movies flan hv anahitaji nimrushie ndo nipo natoa kwa hard disk nahamisha nikaona storage kama inazingua nikawa. Nachek app za kufuta ndo nakutana na mzigo wa jf umetulia front page aiseee
Amesoma hadi ile ya kula tunda kimasihara. Anakuzoom tu πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Mimi siamini kama wewe ni mzee kiasi hicho, najua unatupanga tu
 
we hufai unaludisha nyuma juhudi za kuipaisha jf kimataifa kwanini umeiunstall sasa ? taila kweli wewe.jamiiforums ni kwa kila mtu
 
Usikute ulikaa na Binti Sayunii ungekoma kwa nyuzi,
Hahaha...........Kwa kweli ningekoma iwapo angejua ID yanguπŸ˜…

Nilishangaa kuona anauliza kama nimewahi kuingia na kusoma nyuzi za Chit chat

Nikamwambia Mimi na Uzee huu, utanikuta jukwa la Kilimo na biashara tu πŸ€—
 
ID mbili muhimu mkuu kuna muda inabidi tu iwe hivyo sio kwa nia mbaya.
Hahaha..............ila Kuna watu wanaweza kumiliki ID mbili, Mimi hii moja pekee huwa Kuna muda nasahau nywila (password) πŸ™Œ

Labda kutokana na zee nilionao 😜
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…