Nimepigwa na butwaa

Hapitii na hazingatiii mkuu...
Bi mdashi ni mtu na heshima zake ujue sasa wewe endelea kusema bi mdashi ni mtu wa hovyo takublok mkuu..

Kwanza naona unataka tugombane hapa maana wewe unashawishi wenzako humu wasema bi mdashi kajiunga
Haha sawa mkuu heshima mbele, bi mdashi hapitii na hajajiunga tuache kufikiria negatively, YAKUZ YAVUZ.
 
Beki tatu wenu humu unamuita BossLady na anakutumia na vocha mnazigombania 🀣
 
Paka umefanikiwa kuona app ya jf umeshindwa nini kuangalia user name yake profile
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…