Nimependwa na dada muuza mihogo, nifanyaje?

Nimependwa na dada muuza mihogo, nifanyaje?

Hapa mtaani kwetu kuna mabinti wengi wanajiusisha na shughuli za kujitafutia kipato wengi wanauza mihogo, kuna mdada mmoja anauza mihogo tumetokea kuzoeana ni mteja wake mahiri sana mimi,
Uwa naenda kumnunua mihogo kwake kila asububi kabla ya kwenda job.

Sasa huyo dada katika kuzoeana akaniombaga hadi nambaangu tukawa tunachati sasa jana kaniambia kuwa ananipenda nilishtuka sana nikamuuliza why?

Anasema mimi ni mwanaume ninaejipenda msafi sana na nina moyo wa kipekee hivyo ametokea kunielewa sana, daah wakuu huyu mwanamke ni mrembo haswa mweupe ana tako halafu mrefu kidogo, ikabidi nimwambie nipe siku 3 nikufikirie then nitakupa jibu.

Wakuu mimi naona kama siwezi kumkubalia huyu mwanamke maana nitamuumiza sana nitaishia kumla na kumuacha tu japo sababu nyingine sipendezwi na kazi yake ya kuuza mihogo bora kidogo angekuwa na kazi ya kueleweka hapo ningemkubalia
Hau wakuu nakosea??

Sent from my SM-J260T1 using JamiiForums mobile app
basi tafuta waliokalia vyeti homu
 
Daaaaahhh mwanaume unamwambia demu nipe siku 3 nikufikirie ntakupa jibu????😂😂😂aiseee haya mambo hata wanawake wa sikuiz hawafanyi tena
 
Mwanaume wa dar. Ungeomba wiki nzima kabla ya kumpa jibu ili umuulize na mama yako, na baba labda na mwalimu mkuu wa shule uliyosoma praimare.

Sent from my SM-A515F using JamiiForums mobile app
 
Atakua kapewa sana mihogo ya nyongeza, hajaelewa meseji. Mpaka dada wa watu katongoza, waaaapi jamaa haelewi yaani.

Mjue wanawake wa siku hizi tuna kazi nzito kiasi gani sasa. Dah
Daaaaahhh mwanaume unamwambia demu nipe siku 3 nikufikirie ntakupa jibu????[emoji23][emoji23][emoji23]aiseee haya mambo hata wanawake wa sikuiz hawafanyi tena

Sent from my SM-A515F using JamiiForums mobile app
 
Kazi ya kuuza mihogo ni kazi nzuri Sana tena ni Mwanamke anayejitegemea. Unapenda awe na kazi za kuajiriwa. My friend your lost hata hawa matajiri wakubwa wengi walianza na kazi za kazi ndogo ndogo ambazo wewe unazizadharau. Kwa maelezo yako haya wewe mwenyewe inaonekana hauna Kazi ya kueleweka kabisa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kwaiyo ata huyo mpenz wako uliye nae ume mpendea kaz yake wala huja mpenda yeye, ina onekana Una penda wanawake wenye kaz nzur nzur ili wawe Wana kugaiya pesa?
Mariooooo
 
Ulitaka awe na kazi ya kueleweka ili akuhonge, akuweke mjini, au?
Yale yale ya akina dada kupenda magari yetu utadhani ya kwao. [emoji1787][emoji1787] Eti mimi siwezi date mwanaume asiye na gari, kwani akiwa na gari litakuwa lako!!!
Mkuu kama vipi kaupgrade ukape mtaji kafanye biashara nyingine utakayopenda halafu kaweke ndani maana huyo ni mtafutaji.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimechekaa hadi kupaliwa lol
 
Eti kasema kanipenda halafu nikamuuliza Why? [emoji23]

Eti nimemwambia anipe siku tatu nimfikirie.

Daah! braza mwanamke akikutongoza unamsikiliza afu unamtongoza wewe, if you are real kwenye hilo la kuogopa kumuumiza mwambie tuu ukweli kuwa hata wewe ulikuwa unampenda ila ukaogopa kumwambia kwa kuwa unamthamini sana kwani hauna long term plan nae. Hapo kama kakuelewa kweli basi utakula mbususu kwa raha sana unakuwa ushaji defend that anytime unakiamsha.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom