Nimependwa na dada muuza mihogo, nifanyaje?

Hapa mtaani kwetu kuna mabinti wengi wanajiusisha na shughuli za kujitafutia kipato wengi wanauza mihogo, kuna mdada mmoja anauza mihogo tumetokea kuzoeana ni mteja wake mahiri sana mimi,
Uwa naenda kumnunua mihogo kwake kila asububi kabla ya kwenda job.

Sasa huyo dada katika kuzoeana akaniombaga hadi nambaangu tukawa tunachati sasa jana kaniambia kuwa ananipenda nilishtuka sana nikamuuliza why?

Anasema mimi ni mwanaume ninaejipenda msafi sana na nina moyo wa kipekee hivyo ametokea kunielewa sana, daah wakuu huyu mwanamke ni mrembo haswa mweupe ana tako halafu mrefu kidogo, ikabidi nimwambie nipe siku 3 nikufikirie then nitakupa jibu.

Wakuu mimi naona kama siwezi kumkubalia huyu mwanamke maana nitamuumiza sana nitaishia kumla na kumuacha tu japo sababu nyingine sipendezwi na kazi yake ya kuuza mihogo bora kidogo angekuwa na kazi ya kueleweka hapo ningemkubalia
Hau wakuu nakosea??

Sent from my SM-J260T1 using JamiiForums mobile app
ndege wafananao huruka pamoja...........
 
Takataka kabisa,,, Yaani kidume unamfikiria demu siku tatu...

Eti akupe siku tatu.... Ili iweje?
 
Hapa mtaani kwetu kuna mabinti wengi wanajiusisha na shughuli za kujitafutia kipato wengi wanauza mihogo, kuna mdada mmoja anauza mihogo tumetokea kuzoeana ni mteja wake mahiri sana mimi,
Uwa naenda kumnunua mihogo kwake kila asububi kabla ya kwenda job.

Sasa huyo dada katika kuzoeana akaniombaga hadi nambaangu tukawa tunachati sasa jana kaniambia kuwa ananipenda nilishtuka sana nikamuuliza why?

Anasema mimi ni mwanaume ninaejipenda msafi sana na nina moyo wa kipekee hivyo ametokea kunielewa sana, daah wakuu huyu mwanamke ni mrembo haswa mweupe ana tako halafu mrefu kidogo, ikabidi nimwambie nipe siku 3 nikufikirie then nitakupa jibu.

Wakuu mimi naona kama siwezi kumkubalia huyu mwanamke maana nitamuumiza sana nitaishia kumla na kumuacha tu japo sababu nyingine sipendezwi na kazi yake ya kuuza mihogo bora kidogo angekuwa na kazi ya kueleweka hapo ningemkubalia
Hau wakuu nakosea??

Sent from my SM-J260T1 using JamiiForums mobile app
Akipata muhuni huyo ndo utamuona anafaa na jinsi atakavyokupotezea maumivu yake mwenyewe utahama mtaa.
 
Hapa mtaani kwetu kuna mabinti wengi wanajiusisha na shughuli za kujitafutia kipato wengi wanauza mihogo, kuna mdada mmoja anauza mihogo tumetokea kuzoeana ni mteja wake mahiri sana mimi,
Uwa naenda kumnunua mihogo kwake kila asububi kabla ya kwenda job.

Sasa huyo dada katika kuzoeana akaniombaga hadi nambaangu tukawa tunachati sasa jana kaniambia kuwa ananipenda nilishtuka sana nikamuuliza why?

Anasema mimi ni mwanaume ninaejipenda msafi sana na nina moyo wa kipekee hivyo ametokea kunielewa sana, daah wakuu huyu mwanamke ni mrembo haswa mweupe ana tako halafu mrefu kidogo, ikabidi nimwambie nipe siku 3 nikufikirie then nitakupa jibu.

Wakuu mimi naona kama siwezi kumkubalia huyu mwanamke maana nitamuumiza sana nitaishia kumla na kumuacha tu japo sababu nyingine sipendezwi na kazi yake ya kuuza mihogo bora kidogo angekuwa na kazi ya kueleweka hapo ningemkubalia
Hau wakuu nakosea??

Sent from my SM-J260T1 using JamiiForums mobile app
We anza kutengeneza kachumbari
 
Haupendi kazi yake Ila kila siku unakula miogo yake...
 
Kwa vile unamuonea sana huruma,basi Nitumie namba yake ya Simu.

Sent from my Infinix X688C using JamiiForums mobile app
 
Hapa mtaani kwetu kuna mabinti wengi wanajiusisha na shughuli za kujitafutia kipato wengi wanauza mihogo, kuna mdada mmoja anauza mihogo tumetokea kuzoeana ni mteja wake mahiri sana mimi,
Uwa naenda kumnunua mihogo kwake kila asububi kabla ya kwenda job.

Sasa huyo dada katika kuzoeana akaniombaga hadi nambaangu tukawa tunachati sasa jana kaniambia kuwa ananipenda nilishtuka sana nikamuuliza why?

Anasema mimi ni mwanaume ninaejipenda msafi sana na nina moyo wa kipekee hivyo ametokea kunielewa sana, daah wakuu huyu mwanamke ni mrembo haswa mweupe ana tako halafu mrefu kidogo, ikabidi nimwambie nipe siku 3 nikufikirie then nitakupa jibu.

Wakuu mimi naona kama siwezi kumkubalia huyu mwanamke maana nitamuumiza sana nitaishia kumla na kumuacha tu japo sababu nyingine sipendezwi na kazi yake ya kuuza mihogo bora kidogo angekuwa na kazi ya kueleweka hapo ningemkubalia
Hau wakuu nakosea??

Sent from my SM-J260T1 using JamiiForums mobile app
We mle

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Mkuu hizi mbususu zinazokuja kama zali chapa faster angalia ustaarabu wako kikubwa hao wauza busta usipige kavu tena tafuta roughrider kabisa maana kuna njemba huwa zinajumua dishi lote pamoja na mama mihogo mwenyewe[emoji1][emoji1]
Rough rider ni condoms?
 
Mtu mwenyewe unashindia mihogo halafu unataka umkatae dada muuza mihogo kwa kusema sio hadhi yako sasa wewe una hadhi gani mkuu?
Hebu mkubalie mkuu huyo ndio type yako haswaa pengne huko kwengne unaishia kuteseka tu huku unakataa wa hadhi yako
 
Hapa mtaani kwetu kuna mabinti wengi wanajiusisha na shughuli za kujitafutia kipato wengi wanauza mihogo, kuna mdada mmoja anauza mihogo tumetokea kuzoeana ni mteja wake mahiri sana mimi, Uwa naenda kumnunua mihogo kwake kila asububi kabla ya kwenda job.

Sasa huyo dada katika kuzoeana akaniombaga hadi nambaangu tukawa tunachati sasa jana kaniambia kuwa ananipenda nilishtuka sana nikamuuliza why?

Anasema mimi ni mwanaume ninaejipenda msafi sana na nina moyo wa kipekee hivyo ametokea kunielewa sana, daah wakuu huyu mwanamke ni mrembo haswa mweupe ana tako halafu mrefu kidogo, ikabidi nimwambie nipe siku 3 nikufikirie then nitakupa jibu.

Wakuu mimi naona kama siwezi kumkubalia huyu mwanamke maana nitamuumiza sana nitaishia kumla na kumuacha tu japo sababu nyingine sipendezwi na kazi yake ya kuuza mihogo bora kidogo angekuwa na kazi ya kueleweka hapo ningemkubalia
Hau wakuu nakosea??
Nakushauri umuoe huyo dada atakufikisha mbali kimaisha.Take it from me.Ila sikushauri kabisa kufanya uzinzi.

Huyo tayari ana akili sana za kuzungusha hela.hicho kimshahara chako unachopata kitawezeshwa kuongeza uchumi wake
 
Back
Top Bottom