Nimependwa na dada muuza mihogo, nifanyaje?

Nimependwa na dada muuza mihogo, nifanyaje?

Ok kwa hiyo kosa lake kuuza mihogo? Au wauza mihogo sio watu? Hawastahili kupenda wala kupendwa? We mwenyewe unaonekana unga unga tu siku ziende unakulaje mihogo kama huyo sio levo zako?
Mkuu sijamaanisha kama namnyayapaa na kazi yake ila daah kidogo niwe mkweli napenda mwanamke awe na ka kazi kakueleweka hata ukimtambulisha kwa washua kidogo fact

Sent from my SM-J260T1 using JamiiForums mobile app
 
Eti kasema kanipenda halafu nikamuuliza Why? [emoji23]

Eti nimemwambia anipe siku tatu nimfikirie.

Daah! braza mwanamke akikutongoza unamsikiliza afu unamtongoza wewe, if you are real kwenye hilo la kuogopa kumuumiza mwambie tuu ukweli kuwa hata wewe ulikuwa unampenda ila ukaogopa kumwambia kwa kuwa unamthamini sana kwani hauna long term plan nae. Hapo kama kakuelewa kweli basi utakula mbususu kwa raha sana unakuwa ushaji defend that anytime unakiamsha.
Daaah mkuu nimekusoma mkuu[emoji122]

Sent from my SM-J260T1 using JamiiForums mobile app
 
Huna aibu
Eti hupendezwi na kazi yake
Wewe una ipi ya maana?
Ungekua unakula sausages asubuh mihogo usingekua unahangaika nayo
Pathetic!
 
Hawa ndiyo wale vijana wanaokujaga humu kulalamika eti ametembea na malaya ana kila sifa ya kuitwa mke na ana tako kwanini anafanya kazi hiyo wakati kuna kazi nyingi za kufanya, haya sasa dada wawatu kaona kuuza tako sio deal na kama alivyosema mtoa mada ni mzuri ila kaamua kuuza miogo ili ajipatie kipato halali kuliko kuuza mwili wake kwa kutumia uzuri wake ila mtoa mada kadharu kazi yake eti kazi ya aibu tena sijui anataka nini sasa..
Shida vijana wengi tuna penda zile kazi za kuvaa suti na tie ukiuza mkaa ubadharauliwa MI kwa upande wangu huyo Dada MI Mmwanamke anae jitambua ndio mana anapambana
 
Huna aibu
Eti hupendezwi na kazi yake
Wewe una ipi ya maana?
Ungekua unakula sausages asubuh mihogo usingekua unahangaika nayo
Pathetic!
Kazi yangu kwa mwezi nalipwa millioni na kuendelea halafu ishu ya kula mihogo ni maamuzi tu uwa napenda mihogo toka nipo mtoto mkuu

Sent from my SM-J260T1 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom