Nimependwa na dada muuza mihogo, nifanyaje?

Mwambie ukweli kwamba hujawa tayari kuwa kwenye mahusiano kwa muda huu hivyo utamsumbua, naimani atakuelewa...
 
Hapa mtaani kwetu kuna mabinti wengi wanajiusisha na shughuli za kujitafutia kipato wengi wanauza mihogo, kuna mdada mmoja anauza mihogo tumetokea kuzoeana ni mteja wake mahiri sana mimi,
Uwa naenda kumnunua mihogo kwake kila asububi kabla ya kwenda job,
Sasa huyo dada katika kuzoeana akaniombaga hadi nambaangu tukawa tunachati sasa jana kaniambia kuwa ananipenda nilishtuka sana nikamuuliza why? Anasema mimi ni mwanaume ninaejipenda msafi sana na nina moyo wa kipekee hivyo ametokea kunielewa sana, daah wakuu huyu mwanamke ni mrembo haswa mweupe ana tako halafu mrefu kidogo, ikabidi nimwambie nipe siku 3 nikufikirie then nitakupa jibu,
Wakuu mimi naona kama siwezi kumkubalia huyu mwanamke maana nitamuumiza sana nitaishia kumla na kumuacha tu japo sababu nyingine sipendezwi na kazi yake ya kuuza mihogo bora kidogo angekuwa na kazi ya kueleweka hapo ningemkubalia
Hau wakuu nakosea??

Sent from my SM-J260T1 using JamiiForums mobile app
"........sababu nyingine sipendezwi na kazi yake ya kuuza mihogo bora kidogo angekuwa na kazi ya kueleweka hapo ningemkubalia
Hau wakuu nakosea??..."

Ndiyo unakosea kwani ukimbadilishia kazi ya kufanya ni dhambi?
 
Hkvi unafikiri yeye alibokutongoza alipost fb au kuuliza mashogazake? Huyo dada amekuzid akili mbali sana mana hili nalo siojambo la kuuliza.
Mchane live kama unapiga na kusepa then skilizia reaction. Ila ningekuwa mm huyo manzi nongegonga na ningempa mtaji ili tufanye busness in partmership. Nilishawahi fanya such a thing kwa dada muuza samakj. Sasa hivi tuna duka la kuuza samaki wabichi yeye analisimamia japo mapenzi yalisha. Nachouliza ni nini kimepatikana basi napata hela ya bia.
Hao mademu watafutaji wasiotegemea kidanga ndio wakuowa
 
Uzi wa yule mdada anaitwa NAKWEDE

Hiyoo mama mtafuteni atupe mrejeshooo
 
Inabidi siku zote uheshimu kile mtu kinachomwingizoa kipatoo kabisa maisha hata sikia tyu unaweza na baadaye ukawa muuza mihogooo

[emoji23][emoji23][emoji23]muache mkuu
Atalipwa milioni mpaka mwisho wa maisha
Ana mkataba na Mungu naona
 
Hapa mtaani kwetu kuna mabinti wengi wanajiusisha na shughuli za kujitafutia kipato wengi wanauza mihogo, kuna mdada mmoja anauza mihogo tumetokea kuzoeana ni mteja wake mahiri sana mimi,
Uwa naenda kumnunua mihogo kwake kila asububi kabla ya kwenda job,
Sasa huyo dada katika kuzoeana akaniombaga hadi nambaangu tukawa tunachati sasa jana kaniambia kuwa ananipenda nilishtuka sana nikamuuliza why? Anasema mimi ni mwanaume ninaejipenda msafi sana na nina moyo wa kipekee hivyo ametokea kunielewa sana, daah wakuu huyu mwanamke ni mrembo haswa mweupe ana tako halafu mrefu kidogo, ikabidi nimwambie nipe siku 3 nikufikirie then nitakupa jibu,
Wakuu mimi naona kama siwezi kumkubalia huyu mwanamke maana nitamuumiza sana nitaishia kumla na kumuacha tu japo sababu nyingine sipendezwi na kazi yake ya kuuza mihogo bora kidogo angekuwa na kazi ya kueleweka hapo ningemkubalia
Hau wakuu nakosea??

Sent from my SM-J260T1 using JamiiForums mobile app
Ili akuache mtafutie shamba na mtaji alime mihogo, akivuna atengeneze unga wa mihogo auze atakua na kipato kikubwa kuliko wewe, naamini akifikia hapo na yeye atatafuta wanaume wanaomfaa yeye.
 
Hapa mtaani kwetu kuna mabinti wengi wanajiusisha na shughuli za kujitafutia kipato wengi wanauza mihogo, kuna mdada mmoja anauza mihogo tumetokea kuzoeana ni mteja wake mahiri sana mimi,
Uwa naenda kumnunua mihogo kwake kila asububi kabla ya kwenda job,
Sasa huyo dada katika kuzoeana akaniombaga hadi nambaangu tukawa tunachati sasa jana kaniambia kuwa ananipenda nilishtuka sana nikamuuliza why? Anasema mimi ni mwanaume ninaejipenda msafi sana na nina moyo wa kipekee hivyo ametokea kunielewa sana, daah wakuu huyu mwanamke ni mrembo haswa mweupe ana tako halafu mrefu kidogo, ikabidi nimwambie nipe siku 3 nikufikirie then nitakupa jibu,
Wakuu mimi naona kama siwezi kumkubalia huyu mwanamke maana nitamuumiza sana nitaishia kumla na kumuacha tu japo sababu nyingine sipendezwi na kazi yake ya kuuza mihogo bora kidogo angekuwa na kazi ya kueleweka hapo ningemkubalia
Hau wakuu nakosea??

Sent from my SM-J260T1 using JamiiForums mobile app
Akija gheto mwambie aje na mihogo na chachandu utafaidi sana
 
Mkuu sijamaanisha kama namnyayapaa na kazi yake ila daah kidogo niwe mkweli napenda mwanamke awe na ka kazi kakueleweka hata ukimtambulisha kwa washua kidogo fact

Sent from my SM-J260T1 using JamiiForums mobile app
Kwani opinion ya washua wako ina faida gani kwenye maisha yako ya mapenzi? Mapenzi ya wawili mnataka kuyafanya ya kikundi? Hao washua wana yao na wewe una yako.
 
Back
Top Bottom