kenny mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 17, 2021
- 332
- 948
Hapa mtaani kwetu kuna mabinti wengi wanajiusisha na shughuli za kujitafutia kipato wengi wanauza mihogo, kuna mdada mmoja anauza mihogo tumetokea kuzoeana ni mteja wake mahiri sana mimi, Uwa naenda kumnunua mihogo kwake kila asububi kabla ya kwenda job.
Sasa huyo dada katika kuzoeana akaniombaga hadi nambaangu tukawa tunachati sasa jana kaniambia kuwa ananipenda nilishtuka sana nikamuuliza why?
Anasema mimi ni mwanaume ninaejipenda msafi sana na nina moyo wa kipekee hivyo ametokea kunielewa sana, daah wakuu huyu mwanamke ni mrembo haswa mweupe ana tako halafu mrefu kidogo, ikabidi nimwambie nipe siku 3 nikufikirie then nitakupa jibu.
Wakuu mimi naona kama siwezi kumkubalia huyu mwanamke maana nitamuumiza sana nitaishia kumla na kumuacha tu japo sababu nyingine sipendezwi na kazi yake ya kuuza mihogo bora kidogo angekuwa na kazi ya kueleweka hapo ningemkubalia
Hau wakuu nakosea??