Nimependwa na dada muuza mihogo, nifanyaje?

Hapa mtaani kwetu kuna mabinti wengi wanajiusisha na shughuli za kujitafutia kipato wengi wanauza mihogo, kuna mdada mmoja anauza mihogo tumetokea kuzoeana ni mteja wake mahiri sana mimi,
Uwa naenda kumnunua mihogo kwake kila asububi kabla ya kwenda job,
Sasa huyo dada katika kuzoeana akaniombaga hadi nambaangu tukawa tunachati sasa jana kaniambia kuwa ananipenda nilishtuka sana nikamuuliza why? Anasema mimi ni mwanaume ninaejipenda msafi sana na nina moyo wa kipekee hivyo ametokea kunielewa sana, daah wakuu huyu mwanamke ni mrembo haswa mweupe ana tako halafu mrefu kidogo, ikabidi nimwambie nipe siku 3 nikufikirie then nitakupa jibu,
Wakuu mimi naona kama siwezi kumkubalia huyu mwanamke maana nitamuumiza sana nitaishia kumla na kumuacha tu japo sababu nyingine sipendezwi na kazi yake ya kuuza mihogo bora kidogo angekuwa na kazi ya kueleweka hapo ningemkubalia
Hau wakuu nakosea??

Sent from my SM-J260T1 using JamiiForums mobile app
Unakosea sana utu wa mtu haupo kwenye kazi anayo fanya. Tena anafanya Nazi halali
 
Unazingua sana kwani kuuza miogo ni kazi ya ajabu?! Wengine Mama zetu wametusomesha kwa kufanya kazi hiyohiyo. We kama hutaki kumuumiza achana nae kabisa mkatae kwa ushauri wangu.
 
Daah una kwama wap? Tupe sababu nyingine sio hiyo ya yeye kuuza mihogo.
..alafu acha dharau brother kumdharau kazi ya mtu inayo muingizia kipato na kuweza kujipatia mahitaaji yake muhimu.
Huwez jua Leo anauza mihogo kesho usishangae anauza duka LA nguo alilo Pata kwa kuuza hiyo mihogo unayo idharau wakati ndio inajaza tumbo laako
Huyu jamaa anafeli sana, amekiri ni mteja wake kama asingeuza mihogo je
 
Daah una kwama wap? Tupe sababu nyingine sio hiyo ya yeye kuuza mihogo.
..alafu acha dharau brother kumdharau kazi ya mtu inayo muingizia kipato na kuweza kujipatia mahitaaji yake muhimu.
Huwez jua Leo anauza mihogo kesho usishangae anauza duka LA nguo alilo Pata kwa kuuza hiyo mihogo unayo idharau wakati ndio inajaza tumbo laako
Hawa ndiyo wale vijana wanaokujaga humu kulalamika eti ametembea na malaya ana kila sifa ya kuitwa mke na ana tako kwanini anafanya kazi hiyo wakati kuna kazi nyingi za kufanya, haya sasa dada wawatu kaona kuuza tako sio deal na kama alivyosema mtoa mada ni mzuri ila kaamua kuuza miogo ili ajipatie kipato halali kuliko kuuza mwili wake kwa kutumia uzuri wake ila mtoa mada kadharu kazi yake eti kazi ya aibu tena sijui anataka nini sasa..
 
Hapa mtaani kwetu kuna mabinti wengi wanajiusisha na shughuli za kujitafutia kipato wengi wanauza mihogo, kuna mdada mmoja anauza mihogo tumetokea kuzoeana ni mteja wake mahiri sana mimi,
Uwa naenda kumnunua mihogo kwake kila asububi kabla ya kwenda job,
Sasa huyo dada katika kuzoeana akaniombaga hadi nambaangu tukawa tunachati sasa jana kaniambia kuwa ananipenda nilishtuka sana nikamuuliza why? Anasema mimi ni mwanaume ninaejipenda msafi sana na nina moyo wa kipekee hivyo ametokea kunielewa sana, daah wakuu huyu mwanamke ni mrembo haswa mweupe ana tako halafu mrefu kidogo, ikabidi nimwambie nipe siku 3 nikufikirie then nitakupa jibu,
Wakuu mimi naona kama siwezi kumkubalia huyu mwanamke maana nitamuumiza sana nitaishia kumla na kumuacha tu japo sababu nyingine sipendezwi na kazi yake ya kuuza mihogo bora kidogo angekuwa na kazi ya kueleweka hapo ningemkubalia
Hau wakuu nakosea??

Sent from my SM-J260T1 using JamiiForums mobile app
Ulitaka awe na kazi ya kueleweka ili akuhonge, akuweke mjini, au?
Yale yale ya akina dada kupenda magari yetu utadhani ya kwao. 🤣🤣 Eti mimi siwezi date mwanaume asiye na gari, kwani akiwa na gari litakuwa lako!!!
Mkuu kama vipi kaupgrade ukape mtaji kafanye biashara nyingine utakayopenda halafu kaweke ndani maana huyo ni mtafutaji.
 
Na kuna uzi unasema NIMEPENDWA NA KAVULANA KAUZA BUCHA LA NYAMA[emoji2960][emoji23][emoji28] mwenye huo uzi aupandishe hapa
Uzi wa yule mdada anaitwa NAKWEDE

Ok kwa hiyo kosa lake kuuza mihogo? Au wauza mihogo sio watu? Hawastahili kupenda wala kupendwa? We mwenyewe unaonekana unga unga tu siku ziende unakulaje mihogo kama huyo sio levo zako?
 
Eti kasema kanipenda halafu nikamuuliza Why? [emoji23]

Eti nimemwambia anipe siku tatu nimfikirie.

Daah! braza mwanamke akikutongoza unamsikiliza afu unamtongoza wewe, if you are real kwenye hilo la kuogopa kumuumiza mwambie tuu ukweli kuwa hata wewe ulikuwa unampenda ila ukaogopa kumwambia kwa kuwa unamthamini sana kwani hauna long term plan nae. Hapo kama kakuelewa kweli basi utakula mbususu kwa raha sana unakuwa ushaji defend that anytime unakiamsha.
 
Hapa mtaani kwetu kuna mabinti wengi wanajiusisha na shughuli za kujitafutia kipato wengi wanauza mihogo, kuna mdada mmoja anauza mihogo tumetokea kuzoeana ni mteja wake mahiri sana mimi,
Uwa naenda kumnunua mihogo kwake kila asububi kabla ya kwenda job,
Sasa huyo dada katika kuzoeana akaniombaga hadi nambaangu tukawa tunachati sasa jana kaniambia kuwa ananipenda nilishtuka sana nikamuuliza why? Anasema mimi ni mwanaume ninaejipenda msafi sana na nina moyo wa kipekee hivyo ametokea kunielewa sana, daah wakuu huyu mwanamke ni mrembo haswa mweupe ana tako halafu mrefu kidogo, ikabidi nimwambie nipe siku 3 nikufikirie then nitakupa jibu,
Wakuu mimi naona kama siwezi kumkubalia huyu mwanamke maana nitamuumiza sana nitaishia kumla na kumuacha tu japo sababu nyingine sipendezwi na kazi yake ya kuuza mihogo bora kidogo angekuwa na kazi ya kueleweka hapo ningemkubalia
Hau wakuu nakosea??

Sent from my SM-J260T1 using JamiiForums mobile app
Sasa Mkuu juz tu umemwambiwa yule Dada uishi nae na akakwambia usimuumize leo huku wataka ushaur wa jiko jipya!!!!
 
Sipendi mtu mwenye dharau kama wewe, na wanaume huwa hatuna dharau za kishamba namna hiyo,

Wanaume wenye tabia hizi, mara nyingi wamekuzwa kwenye mazingira yenye wanawake wengi na hatimae kuwa na vitabia fulani vya kidada.

kuuza kwake mihogo na kukupenda ni vitu viwili tofauti na kama hiyo mihogo ndo tatizo yani itakufanya uonekane mtu wa chini Acha kula kabisa mihogo.
 
Ulitaka awe na kazi ya kueleweka ili akuhonge, akuweke mjini, au?
Yale yale ya akina dada kupenda magari yetu utadhani ya kwao. [emoji1787][emoji1787] Eti mimi siwezi date mwanaume asiye na gari, kwani akiwa na gari litakuwa lako!!!
Mkuu kama vipi kaupgrade ukape mtaji kafanye biashara nyingine utakayopenda halafu kaweke ndani maana huyo ni mtafutaji.
Daaah hii komenti yako mkuu kama ina mashiko flani[emoji122][emoji122]

Back
Top Bottom