Azizi Mussa
JF-Expert Member
- May 9, 2012
- 9,197
- 7,533
kwani una mpango wa kumuachisha kazi ukishaoa?Hapo unanipotosha mkuu
kwani una mpango wa kumuachisha kazi ukishaoa?Hapo unanipotosha mkuu
Kaka pole. Kwa namna unavyomsifia huyu binti, anaonekana ni mrembo sana halafu changudoa. Sasaaa, alivyo mrembo hivyoo ni wanaume wangapi wamewahi kulala nae kabla ya kuanza hio biashara? na baada ya kuanza hio biashara ni wangapi? wangapi wazima na wangapi wamegonjeka? we ni wa ngapi? je bado anaendelea na biashara yake?
Je ukiitafakari kesho, unaiona future yako ambayo umekua ukiiota? unaona umri uliotamani kuuishi mbele yako kwa hali hiyo, Mkuu mimi naona kiza kinene mbeleni, tafadhali tumia ubongo wako vizuri kuushinda huo mwili usiokubaligi kushindwa kirahisi rahisi, hadi utie juhudi sana ndio utaushinda.
Mungu akutie nguvu unapofanya maamuzi, you have a great future ahead of you brother, think clearly. ''Mtu hujaribiwa kwa tamaa zake mwenyewe, nayo tamaa ikikomaa huzaa dhambi, nayo dhambi ikikomaa huzaa mauti''
Mimi ni kijana mwenye miaka 26 nina shahada ya chuo kikuu na ninafanya kazi ktk shirika moja la kimataifa. Kiukweli napenda sana wanawake hasa wazuri yaani warembo.
Nilipimaliza chuo nilifanya kazi ktk bank moja dar baada ya kuchoshwa na kazi za bank nilipata kazi ktk shirika hili nilipo sasa huku kanda ya ziwa kwakuwa huku nilikuwa ugenn siku moja nilienda club hapa mwanza ktk cheza cheza nikamuona dada mmoja kwakweli ukimuona alivyopendeza utatamani umuweke ndani lkn ni changudoa.
Nikachukua namba kwa usiku huo mm utaratibu wangu silalagi na mwanamke wa kuokota nikiwa nimelewa.
Kesho yake nilimtafuta nikiwa sijanywa ndo nikalala nae baada ya hapo ikawa kila nikipata chance namuita taratibu ninempenda mpaka bataja kumuoa sasa sijui napotea naomba ushauri mwenzenu!

Kwa kauli yako hii na wewe si malaya tu. haupaswi kushangaa biashara aifanyayo huyo uliyempenda maana mpo kwenye boti moja. Na kwa umri wako wa miaka 26!!! unahitaji kubadili tabia yako ili uuone ujana wako wa kati.Kwani ili uwe mzoefu inatakiwa uweje. Maana kama ni wanawake nishakuwa nao mara nyingi na wengi sana
Kichwa kinauma halafu anadai mm namtomba vizuri
Amesema haipendi hyo kazi. Anasubili nitoe tamkoMkaka hupotei wala nn ndugu yangu kama mmekubaliana na unajua nae anakupenda weka ndani ndugu ,yani sio machangudoa wote wanapenda kazi yao ila nikwakuwa wamekosa nafasi zingine tu,embuu kaaa nae na umjue vzuri na misimamo yake then tupia ndani yani utafuraia mwenyewe.
Kwani uasherati ni kuchukua cd tu mbona ww una mpenzi ambaye hakuna ndoaWewe mwenyewe umeshapima UKIMWI, kama jibu ni ndio na hauna, basi kapime tena kwingine, wataalaamu wanatwambia kuna mashine feki. Nakusikitikia sana kwa uasharati.
Mwanaume hawi malaya i.e hakuna malaya mwanaumeKwa kauli yako hii na wewe si malaya tu. haupaswi kushangaa biashara aifanyayo huyo uliyempenda maana mpo kwenye boti moja. Na kwa umri wako wa miaka 26!!! unahitaji kubadili tabia yako ili uuone ujana wako wa kati.
Ndo niko ktk mchakatoweka ndani, siyo wote wanapenda kuwa hivyo, wengine ni tamaa na maisha yamewatenda, mwambie ukweli akikubali mfungulie biashara maisha yaende
Nikimfuma hapatatoshaIts true kuna machangu wazuri ile mbaya hadi nashangaa kwanini ni machangu,
lakini mwanamke aolewi kwa uzuri bali kwa tabia.
Hivi ukimfumania baada ya kuoa? Hutamfanya nini?
Duh kazi kweli kweli mweee
My advice to all my brothers out there, don't go out and try them "hookers" they are very very addictive.
Mimi ni kijana mwenye miaka 26 nina shahada ya chuo kikuu na ninafanya kazi ktk shirika moja la kimataifa. Kiukweli napenda sana wanawake hasa wazuri yaani warembo.
Nilipimaliza chuo nilifanya kazi ktk bank moja dar baada ya kuchoshwa na kazi za bank nilipata kazi ktk shirika hili nilipo sasa huku kanda ya ziwa kwakuwa huku nilikuwa ugenn siku moja nilienda club hapa mwanza ktk cheza cheza nikamuona dada mmoja kwakweli ukimuona alivyopendeza utatamani umuweke ndani lkn ni changudoa.
Nikachukua namba kwa usiku huo mm utaratibu wangu silalagi na mwanamke wa kuokota nikiwa nimelewa.
Kesho yake nilimtafuta nikiwa sijanywa ndo nikalala nae baada ya hapo ikawa kila nikipata chance namuita taratibu ninempenda mpaka bataja kumuoa sasa sijui napotea naomba ushauri mwenzenu!
Bhana, sikiliza moyo na hisia zako!
Jiulize wewe umesha du mara ngapi na wanawake wangapi? Je unadhani ni sahihi uhukumiwe kwa your past experience?
Umeshajaribu kumdodosa nini kilichomfanya awe changudoa? Umejua msimamo wake juu ya uwezekano wa kuacha hiyo biashara ya kujiuza?
Ushauri
usifanye haraka, endelea kumchunguza, mwende kupima VVU, Tumieni kifudusi(Condom) kila mnapongonoka,
Lkn watu wakijua alikuwa changu c watambeza?Oa mdogo wangu hata wengine walioa baazi yao wameoa machangudoa ila hawajionyeshi wakajulikana wazi wazi . Suala la msingi ni yeye kutulia
Elimu haina mwishoMhhhhhhhhhh, akili inazunguka, halafu shule humalizi tu?, bado miaka mingapi?
Nimelichukua mkuuHongera kaka kwani ata hao machangudoa hawakupenda kufanya iyo kazi kama kweli umempenda na umekaa nae mkaongea na anmekubali kubadilika na kuacha iyo tabia basi sioni ubaya wa we kumkwamua kwenye ilo janga na mwenyezimungu awabariki kwani ni wengi wanaofanya iyo biashara kwa shida na so kwa kupenda .
Mimi nishaona kaka mmoja pia alipenda mwanamke alikuwa changudoa na akambadilisha they have a very happy marrige now wit three kids.
Cha muhimu ni kwenda kupima mujue afya zenu na pia umchunguze na upande wa familia yake pia ili upate full picture otherwise its not a bad idea.
Lkn watu wakijua alikuwa changu c watambeza?
Huyu ni mrembo coz alishiriki mashindano ya umiss akashika namba za juu