Kijana tunakubali mapenzi hayabagui...... ila maisha yanabagua!! Ubaguzi wa maisha unafanywa na makosa mbalimbali ya mtu binafsi au watu wanaomhusu mhusika!! Changudoa ni mwanamke kama wengine, na wengi wanuwezo mkubwa sana wa kumridhisha mwanaume kimapenzi, Tatizo na hofu yangu kubwa ni vitu 2;-
1. Wewe kumridhisha - simaanishi kimapenzi- coz inawezekana kabisa Cd kuinjoi na kuridhika kabisa na mapenzi ya mtu... na maanisha mahitaji yake.. Wengi wa hawa viumbe huingiza pesa nyingi sana kwa siku (hasa wale High class CD).. bahati mbaya sana hata matumizi yao ni makubwa sana (mavazi, vipodozi, vilevi na starehe mbalimbali) yaani akipata leo kesho hana, anamka mweupe na kwenda kuzisaka upya!! kaka, pamoja na hiyo kazi yako uwezekano mkubwa ni wewe kufeli!!
2. Yeye kuridhia - Hili ni tatizo kubwa sana kwa hawa dada zetu... Ni wachache sana (almost negligible percentage) huamua kutulia na akitulia baada ya muda hurudi, yaani siku ukimzingua tuu anakutosa anarudi mzigoni... utamfungulia duka na gari.. lakini akikaa dukani kwa siku kaingiza faida ya 20,000 sijui 30,000(inategemea na duka lenyewe), wengi hu-compare na kazi yake na kuona ule muda wakukaa tu na kufugwa wakati angukuwa kwenye LINDO lake angepiga hela ndefu, angepata kampani ya mashosti zake!!
Kifupi kaka KUNGURU HAFUGIKI...... tulia utapata mademu wapo wazuri wenye utulivu wao japo sio 100%