Nimependa changudoa

Nimependa changudoa

Kwani ili uwe mzoefu inatakiwa uweje. Maana kama ni wanawake nishakuwa nao mara nyingi na wengi sana

Uzoefu wako basi bado ni mdogo maana usingekwama kwa changudoa kirahisi namna hiyo kaka. Machangu siyo wanawake, maana ni kama ATM kila kadi inapita, upo tayari kwa hilo baada ya kuoa kila mwanaume aliyetembea nae akumbushie????

Tena wengine walishapiga mpaka 0713 sasa wewe dogo unaweza kupiga hayo makitu ili umkumbushie??? Na kama si hivyo je anaweza kutubia maisha yake ya nyuma kwa hakika au kumananisha?????
 
Mimi ni kijana mwenye miaka 26 nina shahada ya chuo kikuu na ninafanya kazi ktk shirika moja la kimataifa. Kiukweli napenda sana wanawake hasa wazuri yaani warembo.
Nilipimaliza chuo nilifanya kazi ktk bank moja dar baada ya kuchoshwa na kazi za bank nilipata kazi ktk shirika hili nilipo sasa huku kanda ya ziwa kwakuwa huku nilikuwa ugenn siku moja nilienda club hapa mwanza ktk cheza cheza nikamuona dada mmoja kwakweli ukimuona alivyopendeza utatamani umuweke ndani lkn ni changudoa.
Nikachukua namba kwa usiku huo mm utaratibu wangu silalagi na mwanamke wa kuokota nikiwa nimelewa.
Kesho yake nilimtafuta nikiwa sijanywa ndo nikalala nae baada ya hapo ikawa kila nikipata chance namuita taratibu ninempenda mpaka bataja kumuoa sasa sijui napotea naomba ushauri mwenzenu!
na kushauri umuoe ila kila mmoja awe analala chumba chake kwa sababu zakikazi.

Uzoefu wako basi bado ni mdogo maana usingekwama kwa changudoa kirahisi namna hiyo kaka. Machangu siyo wanawake, maana ni kama ATM kila kadi inapita, upo tayari kwa hilo baada ya kuoa kila mwanaume aliyetembea nae akumbushie????

Tena wengine walishapiga mpaka 0713 sasa wewe dogo unaweza kupiga hayo makitu ili umkumbushie??? Na kama si hivyo je anaweza kutubia maisha yake ya nyuma kwa hakika au kumananisha?????
Dah huu ni msalaba mkuu
 
Mimi ni kijana mwenye miaka 26 nina shahada ya chuo kikuu na ninafanya kazi ktk shirika moja la kimataifa. Kiukweli napenda sana wanawake hasa wazuri yaani warembo.
Nilipimaliza chuo nilifanya kazi ktk bank moja dar baada ya kuchoshwa na kazi za bank nilipata kazi ktk shirika hili nilipo sasa huku kanda ya ziwa kwakuwa huku nilikuwa ugenn siku moja nilienda club hapa mwanza ktk cheza cheza nikamuona dada mmoja kwakweli ukimuona alivyopendeza utatamani umuweke ndani lkn ni changudoa.
Nikachukua namba kwa usiku huo mm utaratibu wangu silalagi na mwanamke wa kuokota nikiwa nimelewa.
Kesho yake nilimtafuta nikiwa sijanywa ndo nikalala nae baada ya hapo ikawa kila nikipata chance namuita taratibu ninempenda mpaka bataja kumuoa sasa sijui napotea naomba ushauri mwenzenu!

Si una uhakika umempenda???? Then wewe tu ushindwe mwenyewe,we wish you all the best!!!!
 
Wee mwache aulizie makofi polisi wa TZ

Atakuja na sred hapa atujazie server bure
Mfano "nimemfumania mke wangu, nifanyeje?"
Au 'mke wangu ana mabwana,nisaidieni"
Ama "mke wangu anauza K", wakati anajua kabisa sababu

Kijana bado huna uzoefu wa mapenzi, changudoa si mwanamke wa kuaminika, ila nashukuru Kongosho kakuchorea rula sana.
 
Dah huu ni msalaba mkuu

Kaka ni msala siyo wa kitoto, achana na hucho changudoa maana ukipotea ukaacha ndom maana yake umzunguko wake wote umeumeza kutokana na kuzidiwa na nguvuya kimapenzi. Nakubaliana na wewe kuwa wapo machangudoa wazuri kwa sura na hata mapenzi lakini siyo material wife.

Kama vipi niPM nikupe ushuhuda zaidi.
 
nye miaka 26 nina shahada ya chuo kikuu na ninafanya kazi ktk shirika moja la kimataifa. Kiukweli napenda sana wanawake hasa wazuri yaani warembo.
Nilipimaliza chuo nilifanya kazi ktk bank moja dar baada ya kuchoshwa na kazi za bank nilipata kazi ktk shirika hili nilipo sasa huku kanda ya ziwa kwakuwa huku nilikuwa ugenn siku moja nilienda club hapa mwanza ktk cheza cheza nikamuona dada mmoja kwakweli ukimuona alivyopendeza utatamani umuweke ndani lkn ni changudoa.
Nikachukua namba kwa usiku huo mm utaratibu wangu silalagi na mwanamke wa kuokota nikiwa nimelewa.
Kesho yake nilimtafuta nikiwa sijanywa ndo nikalala nae baada ya hapo ikawa kila nikipata chance namuita taratibu ninempenda mpaka bataja kumuoa sasa sijui napotea naomba ushauri mwenzenu![/QUOTE]
Hujapotea ni jambo jema xumependa
 
Anaanza kwenda CHina

Huyu mwanamke hakufai, kwa majibu yake haya tu inatosha kuona mtazamo wake, wako wengi kama hao, ukimnunulia gari na duka ndo umemuongeza chati, anaanza ktafuta wazungu, dogo achana na huyu mwanamke anakudanganya tu eti unamtomba vizuri, kagundua wewe sio mjanja anataka kukuingiza mjini.Endelea nae utakumbuka siku yakikupata!
 
pole sana kijana me nakushauri ukimbie bila kugeuka nyuma maana ilo nijanga lisilo kua na msaada mbele yako,kwa sababu now anajua unampenda na anajua unamali na unaweza kumtimizia kila anacho itaji lakini kwa badae ndo utakapo gundua maajabu yake unatakiwa kua makin sana unapo fanya maamuzi mbona warembo wapo wengi sana na wanatabia nzuri na sifa ya kuitwa mwanamke jaman
 
mimi ni kijana mwenye miaka 26 nina shahada ya chuo kikuu na ninafanya kazi ktk shirika moja la kimataifa. Kiukweli napenda sana wanawake hasa wazuri yaani warembo.
Nilipimaliza chuo nilifanya kazi ktk bank moja dar baada ya kuchoshwa na kazi za bank nilipata kazi ktk shirika hili nilipo sasa huku kanda ya ziwa kwakuwa huku nilikuwa ugenn siku moja nilienda club hapa mwanza ktk cheza cheza nikamuona dada mmoja kwakweli ukimuona alivyopendeza utatamani umuweke ndani lkn ni changudoa.
Nikachukua namba kwa usiku huo mm utaratibu wangu silalagi na mwanamke wa kuokota nikiwa nimelewa.
Kesho yake nilimtafuta nikiwa sijanywa ndo nikalala nae baada ya hapo ikawa kila nikipata chance namuita taratibu ninempenda mpaka bataja kumuoa sasa sijui napotea naomba ushauri mwenzenu!

vipi mkuu
utamu umezidia??
Inavoonesha anakupa vitu vyenye nakshi nakshi sana huyo bidada,,
 
Kaka binafsi nimesoma comments za watu wengi na ushauri wao lkn si vibaya nami nikaweka za kwangu.
Wapo machangu ambao waliamua kuacha na kuolewa ,wakatulia na wakawa wake bora sana na wa mfano.
Vitu vya kujua ni kwa nn aliamua kua CD na je maisha ya kujirusha kila siku anaweza yaacha akawa mke wa kutulia nyumbani na kutoka inapobidi?Ni vizuri kwa kukua mmepima na mko salama.
Husikurupuke na uhamuzi fanya kwanza utafiti ni mpe kipindi cha kumpima kwanza.ni ayo tu.
 
Kweli nimeuchukua ushauri wako nitaufanyia kazi
 
pole sana kijana me nakushauri ukimbie bila kugeuka nyuma maana ilo nijanga lisilo kua na msaada mbele yako,kwa sababu now anajua unampenda na anajua unamali na unaweza kumtimizia kila anacho itaji lakini kwa badae ndo utakapo gundua maajabu yake unatakiwa kua makin sana unapo fanya maamuzi mbona warembo wapo wengi sana na wanatabia nzuri na sifa ya kuitwa mwanamke jaman
Niko njia panda
 
Kaka ni msala siyo wa kitoto, achana na hucho changudoa maana ukipotea ukaacha ndom maana yake umzunguko wake wote umeumeza kutokana na kuzidiwa na nguvuya kimapenzi. Nakubaliana na wewe kuwa wapo machangudoa wazuri kwa sura na hata mapenzi lakini siyo material wife.

Kama vipi niPM nikupe ushuhuda zaidi.
Hapa ni nduki bila kugeuka
 
Back
Top Bottom