Izz
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 750
- 322
Habari zenu wapendwa, nasikitika kuwataarifu kuwa nimepata msiba wa mama yangu mkubwa. Amefariki jana jioni na tunatarajia kuzika leo saa kumi Muheza Tanga. Innalillah wainna illaih rajiuun
Pole YNNAH Poleni wafiwa! Allah awatie nguvu katika kipindi hiki kigumu, Innalillah wainna illaih rajiun!
Last edited by a moderator: