Nimepata msiba.

Pole sana YNNAH na kwa familia kwa kumpoteza mama mkubwa. Mungu akupeni nguvu na ustahimilivu katika kipindi hiki kigumu.
Marehemu apumzike kwa amani. Amina.
 
Last edited by a moderator:
Habari zenu wapendwa, nasikitika kuwataarifu kuwa nimepata msiba wa mama yangu mkubwa. Amefariki jana jioni na tunatarajia kuzika leo saa kumi Muheza Tanga. Innalillah wainna illaih rajiuun

Mungu awape nguvu. may mama mkubwa rest in peace. amen
 
Pole kwa yote yaliyokukuta YNNAH, MUNGU awape ukomavu wa moyo na kuwawezesha kulifanikisha zoezi hilo salama salmin.

MUNGU AMLAZE BI.MKUBWA MAHALI PEMA PEPONI.
 
Last edited by a moderator:
Poleni sana YNNAH
Mungu awape nguvu na faraja kipindi chote cha msiba!
Bwana alitoa na Bwana ametwaa..Jina la Bwana lihimidiwe.!
 
Last edited by a moderator:
Pole sana Mungu awape faraja katika kipindi hiki kigumu.
 
Mwenyezi Mungu amrehemu mama mkubwa.
Pole sana YNNAH.
 
Last edited by a moderator:
Habari zenu wapendwa, nasikitika kuwataarifu kuwa nimepata msiba wa mama yangu mkubwa. Amefariki jana jioni na tunatarajia kuzika leo saa kumi Muheza Tanga. Innalillah wainna illaih rajiuun

Pole sana YNNAH....... Mungu ana kila sababu na mambo yake......atawapitisha pia katika hili......
 
Last edited by a moderator:
pole sana YNNAH, Mungu awape nguvu katika kipindi hiki kigumu....
RIP mama mkubwa
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom