Leta rasimu tuijadili kwanza!
Kwani its for public interest?
Habari zenu wapendwa, nasikitika kuwataarifu kuwa nimepata msiba wa mama yangu mkubwa. Amefariki jana jioni na tunatarajia kuzika leo saa kumi Muheza Tanga. Innalillah wainna illaih rajiuun
Poleni sana jamani, nakuja tanga jmos ungenipa mawasiliano yako ili nije kuwaona jamanipole sana mie mwenyewe nipo tanga nashinda hospital nauguza my dada ngamiani health center yupo very siriaz Mungu akijaaalia akipata nafuu kidogo kunyanyuka tunakuja nae dar huku ugenini vururuvururu