Kipipi wangu hebu badili Avatal yako please...weka ileeee ya zamani...
Yaani watu mnapenda tuweke picha za warembo warembo tu hata kama hatufanani nazo . . right???
heheh hii hii ndio nzuri!
hehehe, mi sipandagi bajaj za angani, zina kelele na mavumbi.
Yep niafadhali ukaweka picha yenye mfano wako hata kwa mbali...mfn..ww ni tinginya then unaweka picha ya kimodo wapi na wapi??
Hata km bhana lol yako ya zamani ndio bomba tena ileee ya enzi za Amyner
Kwani hii ina matatizo gani jamani??
Mi ndo naiona inafaa sasa!