Wild sniper
JF-Expert Member
- Apr 3, 2015
- 4,426
- 8,726
Kimbia fasta toka nduki we kimbia ukituma umeumia
Mweeh basi hapo jiongeze tuNilishaomba sana niende hata karibu na geti lao nimwone akasema baba yake ana supermarket nje ya geti anauza humo ni ngumu kumwona
Mi chikuwezi yakheeeeeNa nani au unataka unikamue wewe
Jitoe uende alipo....
Teh hata kama ni kumlia mtu unafanya kwa timing banaHahaaaa!Ila kuna wadada watata...!!
Elf 50 nauli anaenda mwanza!!
Tatizo sio kutuma hiyo 50 banamungu Mkubwa mm sijawahi kukutana na machola hadi kuona elfu 50 ni pesa nyingi, tho siwezi kukosa nauri. ila wewe kaka bahili unashindwa kutuma 50? dah what kind of a man? aibu
Mtaje tumsutekwanini usimfate mbona wanaume mnapenda mambo rahisi sana,kuna mmoja aliniambia eti atachukua chumba hotelini tukaongee humo .kuna watu wanautani sijui roho mbaya? tena yupo humu akinisoma ataelewa

Teh hata kama ni kumlia mtu unafanya kwa timing bana
hajui kumshika mkono kipofu?!!"....maana mwingine ni black"Miezi kadhaa nilipost hapa nikitafuta mchumba wa kuoa
Nikapata kama wadada wawili,ktk kuchuja kwangu nikampenda mwenye rangi nyeupe maana mwingine ni black,
Tumechat whatsapp kwa miez sasa bila kuonana lkn tunatumiana picha mbalimbali aidha tupo kazini au nyumbani,
Jana tulipanga appointment ya kuonana na mimi nisingeweza kumfata aliko ila akaomba nimtumie elfu 50 achukue taxi mpaka nilipo,
Sasa nipo dilema najiuliza hivi nitume kweli 50 au niache maana moyo una 6 au ni mhuni maana?
Hapa mjini!
Ndo kashaharibu hivyo![]()
![]()
hajui kumshika mkono kipofu?!!

Huo ulokole wake umeuthbitsha Vp jombaaa????Nimelibaini hilo japo sina uhakika lkn yeye mlokole ss atadanganya kwl
Kashampa na kibutiKama ulimpata hapa jf akiiona hii thread itatakuweje?...