Nimepata mchumba au kombora?

Nimepata mchumba au kombora?

Nilishaomba sana niende hata karibu na geti lao nimwone akasema baba yake ana supermarket nje ya geti anauza humo ni ngumu kumwona
Hahahahhhaha [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji28][emoji38][emoji38]
 
Demu wa online ukiona anakwambia umtumie sh kadhaa,ujue hapo Hamna kitu.
 
Nakumbuka kuna boya moja lilinitapeli buku tano ya nauli nilipotuma simu haikupokelewa mwisho ikazimwa hadi Leo nikikumbuka nacheka tuu
 
Amnaaaaaaaaa!!!Umepta Mchumba Tena Swafiii Tuuu...Ni Ww Tuu!![emoji23] [emoji23]
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom