Nimepata mchumba au kombora?

Nimepata mchumba au kombora?

Miezi kadhaa nilipost hapa nikitafuta mchumba wa kuoa

Nikapata kama wadada wawili,ktk kuchuja kwangu nikampenda mwenye rangi nyeupe maana mwingine ni black,

Tumechat whatsapp kwa miez sasa bila kuonana lkn tunatumiana picha mbalimbali aidha tupo kazini au nyumbani,

Jana tulipanga appointment ya kuonana na mimi nisingeweza kumfata aliko ila akaomba nimtumie elfu 50 achukue taxi mpaka nilipo,

Sasa nipo dilema najiuliza hivi nitume kweli 50 au niache maana moyo una 6 au ni mhuni maana?

Hapa mjini!
Tuma haraka!
 
Bora vempire huyo ni zombie kbs ila anisamehe tu

Halaf kuna namba ngeni zimeanza kunipigia mfururizo au ndo yy maana nimemblock
Yani hapo unapigwa live asikudanganye mtu cjui mapenzi kamali achana nae huyoo mm ningeshamtumia hivi viemoji vya dole la kati
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom