Nimepata mchumba au kombora?

Nimepata mchumba au kombora?

Hakuna utata hapo mkuu...
Unaweza kuta kajamaa kalikua kakimtumia babe ake mapicha ya viwanja vikali, huku akitupia Pizza, bagga nk.
Waweza kuta jamaa alipiga picha kwenye maegesho ya magari, kisha akamtumia babe picha akiwa pembeni ya Ferrari.
Napata wasiwasi sana kwamba jamaa alijipaisha sana kwa babe kipindi cha kutumiana mipicha
Mi nimetuma picha za kawaida mno lkn ndo ivo tena nyingi nipo kanisani
 
mungu Mkubwa mm sijawahi kukutana na machola hadi kuona elfu 50 ni pesa nyingi, tho siwezi kukosa nauri. ila wewe kaka bahili unashindwa kutuma 50? dah what kind of a man? aibu
Hapa sio swala la ubahili mkuu...
Jamaa ameshindwa kumaliza issue ndogo hii kwa hekima na busara.
Hapa alipo anza tu kwamba walikua wakitumiana picha, kiajua tayari kijana alituma picha kwa kutaka sifa.
Alafu.....
Kama ameshindwa kumaliza issue ndogo kama hii, je angekua mtongozaji kama sisi wengine ambao kila siku tuna zoza humu jf.. na tunakutana na makubwa kuliko hili, hapo sindio angekua analeta threads za kipuuzi humu kila siku...
 
Nilishaomba sana niende hata karibu na geti lao nimwone akasema baba yake ana supermarket nje ya geti anauza humo ni ngumu kumwona
Hahahhh ulikua unalizwa vibaya usikute mwanaume mwenzio
 
kwanini usimfate mbona wanaume mnapenda mambo rahisi sana,kuna mmoja aliniambia eti atachukua chumba hotelini tukaongee humo .kuna watu wanautani sijui roho mbaya? tena yupo humu akinisoma ataelewa
 
Ndo tatizo la wanaume wa jf mkishindwana mnakuja kuanikwa pole yako dada sijui unajisikiaje uko ulipo maskini wanaume wengine sio kulikua na ulazma gani wa kuja kuanikana
 
Ndoma mim mambo ya mitandao tuishiage tu kuchat,haya mambo ya kudharirishan humu hapan kwakweli,mimi nafikiri kulikuw hakun haja ya kuomb ushauri sbb ushaona ni kombora,na kingin usha mbrck sasa maamuz ushaya fanya mwenyew lbda uje na thread ya kutushaur kwa mambo uliyokuta nayo,ndoman huwa na kwepa san inbx,mpk nikupe namb yang ujue nimekuheshim sana
Kweli kabisa alaf mambo ya kudhalilishana jf ndo yapo sana
 
kwanini usimfate mbona wanaume mnapenda mambo rahisi sana,kuna mmoja aliniambia eti atachukua chumba hotelini tukaongee humo .kuna watu wanautani sijui roho mbaya? tena yupo humu akinisoma ataelewa

NYIE AKINA NANI MPAKA MTUSABABISHIE HASARA
HALAFU WANAWAKE ALIE WAAMBIA WANAUME ( BOYFRIEND) wako SAWA NA BABA YAKO NANI? UMEPENDEA LEO UNATAKA KILA KITU ULICHOEAHI KUKISIKIA DUNIANI UWE NACHO HOW COMES??
 
Mkuu huyo kama ndio unataka awe mke itakula Kwako. Moja ya test muhimu ni kama hiyo, haiwezekani mwanamke mwenye busara na kujua maisha atake 50000 just kwa ajili ya Tax. Huyu hata kama ndani Kuna chakula atakwambia baby twende hotel tukale. Watch out

50,000 ya Tax=vat
 
NYIE AKINA NANI MPAKA MTUSABABISHIE HASARA
HALAFU WANAWAKE ALIE WAAMBIA WANAUME ( BOYFRIEND) wako SAWA NA BABA YAKO NANI? UMEPENDEA LEO UNATAKA KILA KITU ULICHOEAHI KUKISIKIA DUNIANI UWE NACHO HOW COMES??
mbona sikuelewi ina maana mtu akikuita morogoro nje ya plan zako si lazima atoe nauli yeye kama vipi amfate.na kama mwanaume kweli unampenda mtu si umfate?
 
Kwanza KUNA Uba mwambia achukue UBA ni 1000 Tzs kwa kilomita 1
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom