Nimepata mchumba au kombora?

Nimepata mchumba au kombora?

Mi si mbahili kiivo,angekubal kuja bila kuniomba hiyo 50 pengine angepata zaid ya hiyo maana ningempatia naul yake na ya kurud na zawad juu lkn kakurupuka mno
Wengine tumeji360 ukija kuona real mtu unarun away
 
Wengine tumeji360 ukija kuona real mtu unarudi away
360 haina ttz yy angekuja tu tukaonana ingekua poa,mtu sijawah kumwona live nitawezaje kutuma tu pesa iviivi ni bora leo angenipa imani ili hata akiniomba hiyo 50 najua kwl natoa kwa mtu naemjua,je kama natuma kwa jamaa limenichezea karata tu ningemlaumu nan humu

Dar ishakua ya wahuni
 
Ha ha unatuma kwa dume mwenzio
 
ebed6d33774f15c803540dcfb382c3c3.jpg
mpe hiyoo
 
Afu ukute dume mwenzio anakuzuga na picha za x wake au dada yake, imemtokea mshikaji wangu katapeliwa na mjamaa kwa mahusiano haya ya kwenye mitandao
 
Ishamua deal hapa mjini tukaeni chonjo jaman
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom