mwenyeKitu
JF-Expert Member
- Dec 28, 2015
- 945
- 772
Hilo ni kombora...ukichunguza utakuta hata "Badoo" yupo
Basi huku si sehemu sahihiSijaona ndo maana natapatapa bado
Watu wenyewe mkiombwa pesa ya tax ndo kama hivo, mnakuja kutuanika Jf....akaHahahaha, nimewamiss sana.
Wanawake ni mapambo ya dunia.Pole,taxi ya wapi hiyo elfu 50 kukupeleka mita 800 tu wizi mtupu
Lakini mie naona alichofanya huyo mwabamke ni sawa tu.Kwa style hiyo mtanyauka mpaka mkauke maana hata kama ni mizinga hua wanaanzaga kwa pesa kdg lkn hiyo mwanzo tu 50 ya taxi ni htr kwa ulimwengu wa leo
Tunatofautiana uchumi yeye kama anapanda taxi hadi chalinze au mpaka bagamoyo mi level zangu ni daladala ndo maana nimeshindwa atampata anaeweza kumpatia hiyo 50 ya taxiLakini mie naona alichofanya huyo mwabamke ni sawa tu.
Kama ulizoea kujisifu mbele yake...utegemee vizinga.
Ila mbona mie huwa nachukua tax mpaka Kibaha na wala mtu wangu halalamiki?
Ni huu usawa au?
Ningefanya hivyo lkn tyr nimechelewa maana tumeshavuruganaBadala ya kumtumia hiyo 50,000 nadhani ni vema ukisogea jirani na mitaa ya kwao kisha umtumie hata 10,000 ya teksi.
Mfano, kama mngekuwa Arusha. Wewe unakaa Kisongo na yeye anaishi Usa, unasogea hadi Tengeru kisha unamtumia Tsh 10,000 za teksi.
Geuza mfano wangu wa Arusha kwa mazingira yenu ya Dar