Kwa jibu hilo tu wala hukuwa na haja ya kuja humu kuomba ushauri!Nilishaomba sana niende hata karibu na geti lao nimwone akasema baba yake ana supermarket nje ya geti anauza humo ni ngumu kumwona
Hayo maisha ya Maigizo vijana yatawa cost sana, jaribuni kuishi maisha halisi, kwa nini auzime gari ya rafiki yako eti umfuate, kwa nini asitumie public transport, vijana mjitahidi kuishi uhalisia,mnadanganyana hapo mwanzo kwa kufake maisha then mnaingia kwenye Ndoa mambo yanawashindaWe mbahili sana alaf tumia akili..50 kwa ajili ya kupanda taxi?hauna Rafiki yako ana gari uweke mafuta ya 20 umfate..na kumfata unaona nn kama kama ulimtafuta mda wote huo..watu Tunatuma laki mtt anatoka mtwara ambayo nauli 40 tu..tena unampima akili mwenye kujiongeza anatakwambia nauli ya kurudi nnayo bby..mapenzi kamali tu.tuma io ela asipokuja ujue umekosa dem fanya mambo mengine kuliko kujisononesha apa anakuchora tu..au kama unaona shida mfate upunguze gharama.
Hawa ndio wanao tusababisha wengine tusijibiwe hata PM humu Jf aiseeee.....lama ulimpata hapa jf akiiona hii thread iatakuweje
Ahahahaj Hii imenihuzunisha sana kwamba nayo ni njia ya kukukwepa....... Naishi MbeeeeziNilishaomba sana niende hata karibu na geti lao nimwone akasema baba yake ana supermarket nje ya geti anauza humo ni ngumu kumwona

Hayo majaribu aisee. 50 elfu nauli ya kuja tu bado gharama nyingine. Mwambie kuna mwendokasi hahahaMi mwenyewe naishi kwa kubahatisha yan 50 nitume nauli tu? Kula bado,kurudi bado si majanga hayo
Angeomba elfu 10 wala nisingelalamika hivi lkn 50Hayo maisha ya Maigizo vijana yatawa cost sana, jaribuni kuishi maisha halisi, kwa nini auzime gari ya rafiki yako eti umfuate, kwa nini asitumie public transport, vijana mjitahidi kuishi uhalisia,mnadanganyana hapo mwanzo kwa kufake maisha then mnaingia kwenye Ndoa mambo yanawashinda

mwambie achukue tax, akifika ndo ulipeBodaboda anasema hajawahi kupanda na huko aliko ziko mbali ila ana namba za taxi dreva tu
Kwa hiyo 50 na uchumi ulivyobana kipindi hiki anaonekana ni mtu wa starehe mno huyo sitamuweza msukuma mimi

Mkuu.....Nilimpata humuhumu,ila anisamehe tu amegusa parefu mno

Hayo maisha ya Maigizo vijana yatawa cost sana, jaribuni kuishi maisha halisi, kwa nini auzime gari ya rafiki yako eti umfuate, kwa nini asitumie public transport, vijana mjitahidi kuishi uhalisia,mnadanganyana hapo mwanzo kwa kufake maisha then mnaingia kwenye Ndoa mambo yanawashinda