Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 71,282
- 105,486
Kwani ukitumia condoam kujikinga na UKIMWI halafu ukaenda hospitali ikatakiwa upewe damu utasema hiyo damu wasiipime UKIMWI kwa sababu umevaa condom?Kwa hiyo sasa hivi hamuogopi tena maambukizi ya corona! Yaani hamna haja ya kutumia barakoa wala kunawa mikono kama njiamojawapo ya kujikinga maambukizi haya ya covid19!?
Nasubiri majibu.