Waliolazimisha watu kupewa chanjo ya Corona wakamatwe

Kulwa Jilala

JF-Expert Member
Sep 6, 2022
3,510
7,755
Imethibika sasa kwamba chanjo ya corona ilikuwa biashara ya kitapeli na haikuwa na hata chembe ya kuwasaidia binadamu kupambana na ugonjwa huo.

Hapa Tanzania viongozi licha ya kuonywa sana lakini waliziba masikio na kuliingiza taifa kwenye madeni makubwa ya mikopo ya kuchukua chanjo za corona!!

Mliokomalia corona, lockdown na chanjo ya corona haya tuambieni corona iliondokajeondokaje hapa duniani?
 
Imethibika sasa kwamba chanjo ya corona ilikuwa biashara ya kitapeli na haikuwa na hata chembe ya kuwasaidia binadamu kupambana na ugonjwa huo.

Hapa Tanzania viongozi licha ya kuonywa sana lakini waliziba masikio na kuliingiza taifa kwenye madeni makubwa ya mikopo ya kuchukua chanjo za corona!!
Ipo siku watakamatwa tu kwa utapeli wao
 
Lakini Hakuna aliyelazimishwa, kilichotumika ni ushawishi

20231227_173416.jpg
 
Imethibika sasa kwamba chanjo ya corona ilikuwa biashara ya kitapeli na haikuwa na hata chembe ya kuwasaidia binadamu kupambana na ugonjwa huo.

Hapa Tanzania viongozi licha ya kuonywa sana lakini waliziba masikio na kuliingiza taifa kwenye madeni makubwa ya mikopo ya kuchukua chanjo za corona!!
Hahahaha yalikuwa maigizo ili tu kupunguza idadi ya watu (depopulation), mi niliwaambia as long as ni mwili wangu ni marufuku kuchoma kabisa na passport yangu ya kusafiria niliiweka pembeni sikutaka kabisa kusafili halafu nichome sindano hahaha ila ulikuwa ujinga sana tena wa hali ya juu
 
Imethibika sasa kwamba chanjo ya corona ilikuwa biashara ya kitapeli na haikuwa na hata chembe ya kuwasaidia binadamu kupambana na ugonjwa huo.

Hapa Tanzania viongozi licha ya kuonywa sana lakini waliziba masikio na kuliingiza taifa kwenye madeni makubwa ya mikopo ya kuchukua chanjo za corona!!
Huuu ujumbe uwafikie na viongozi chama flani chama cha upinzani hapa tanzania, ndio nao walikuwa msitari wa mbele kushinikiza, na kumtaka raisi atangaze rockdown kwa raia wote, ashukuriwe serikali makini ya CCM haikuwasilkiliza na tulitoka salama.
 
Lakini Hakuna aliyelazimishwa, kilichotumika ni ushawishi

View attachment 2887442
Mkuu, wewe upo wapi hapo?

Si ilifikia sehemu, kila aliyeugua hata homa tu, kama hujaanza na chanjo hiyo, hatibiwi?

Ndipo Mungu pia akaingilia kati, wale waliokuwa hawataki kuchanjwa tangu mwanzo, hata homa hazikuwapata,

Siwezi kuwekewa madawa yasiyoeleweka mwilini mwangu kamwe!
 
RIP JPM mwiba wa Mabeberu na Madalali wao, JPM the Rock of Africa Nabii wa kweli wapendd wasipende lazima kila siku wakutaje.

Watapanda ATCL, wakisafiri kwa basi wanafika Mbezi wanakuta mkeka wa Njia 8 lazima wakutaje utaskia Hapa Magufuli alipatia, Wakipita njia ya BAGAMOYO kwenda MOSHI ARUSHA wakifika Daraji la WAMI lazima wakutaje tuu na Viswahili Rafudhi utazan mdomoni wana Mbegge.

Wakiskia Chanjo zilikua Maji ya Mwamposa lazima wakutaje tuuu jinsi ulivyopiga marufuku.

Wakiskia Karantini lazima wakutaje tuu jinsi ulizuia huo upumbavu.

Pumzika kwa Amani.
 
Mkuu, wewe upo wapi hapo?

Si ilifikia sehemu, kila aliyeugua hata homa tu, kama hujaanza na chanjo hiyo, hatibiwi?

Ndipo Mungu pia akaingilia kati, wale waliokuwa hawataki kuchanjwa tangu mwanzo, hata homa hazikuwapata,

Siwezi kuwekewa madawa yasiyoeleweka mwilini mwangu kamwe!
Inaumiza sana
 
Back
Top Bottom