Nimepata Chanjo ya Corona nchini Marekani, puuzeni uzushi

Mamndenyi

JF-Expert Member
Apr 11, 2011
32,116
2,000
Hizi roho zinazopotea kwa uzembe ipo siku Mungu atayalipa machozi yao.

Hongera sana uliyepata chanjo.
 
Mamndenyi

JF-Expert Member
Apr 11, 2011
32,116
2,000
Hizi roho zinazopotea kwa uzembe ipo siku Mungu atayalipa machozi yao.

Hongera sana uliyepata chanjo.
 
elvischirwa

JF-Expert Member
Jan 26, 2013
8,970
2,000
Kutamani mtu mwingine augue si kitu kizuri.

Hata kama anapinga chanjo kijinga.

Muelimishe tu.
Si mbaya endapo muhusika ni yule anaezuia wewe usipate chanjo. Mkiwa vitani mmoja wenu akiwa anasababisha uoga kwenye kikosi chenu ni kheri mumuue ili msonge mbele kwa bashasha.
 
UHURU JR

JF-Expert Member
Jul 24, 2014
10,860
2,000
Hizi roho zinazoangamia ni Mali ya babako mbona low IQ hivyo?
Wewe sio muelewa naona ni mfuata mkumbo,unaambiwa hizo chanjo bado zipo kwenye majaribio sasa sijui huo uhakika katika hizo chanjo na matumaini makubwa uliyonayo umeyapata wapi hadi uone hizo chanjo ndio zitazuia hao watu wasife wakati hata hujui zitakuwa na madhara gani.
 
imhotep

JF-Expert Member
Oct 13, 2012
28,025

Kijana hakuna chanjo ya ugonjwa uliovumbuluwa na Mwanasiasa wa CCM unaoitwa Changamoto ya kupumua) ila chanjo zilizopo zimeshathibitishwa na WHO ni kwa akili Covid19
Sasa wewe ulishawahi kuugua safura utotoni? mbona akili yako imedumaa hivyo
 
Inanambo

JF-Expert Member
Jun 26, 2011
3,490
2,000
Mkuu unaweza kuthibitisha kuwa watu wanaokufa hapa Tanzania wanakufa na hiyo covid 19 especially kutokea South Africa??
Kama una uthibitisho wowote nauomba tafadhali....
Chanjo za Tb, Measles, smallpox, Tetanus, kichaa cha Mbwa, antivermon, Yellow fever, Polio zinatoka wapi vile?
 
Nzuguni one

JF-Expert Member
Dec 23, 2019
1,063
1,500
Chanjo sehemu nyingi duniani siyo lazima. Ila baada ya muda itakuja kukulazimu (kumbuka siyo lazima) kuchanjwa. Nahisi kwa watu wanaosafiri nje ya nchi/kwenda kwenye shughuli maalum wanaweza kukwama kama hawajachanjwa. Chukulia mfano wa Hija. Pia pengine kuna nchi zitataka uwe na cheti cha chanjo kabla hujaingia kwenye hizo nchi, kama ilivyo yellow fever. Siyo lazima, lakini unalazimika.
Ni kweli
 
zacha

JF-Expert Member
Feb 28, 2009
1,101
2,000
Siku mkileta chanjo ya Ukimwi tushituane

Hii ya mafua siyo kipaumbele kwangu ....

Ni hayo tu!
 
MLUGURU

JF-Expert Member
Mar 30, 2012
2,087
2,000
Ile kitu ni balaa, maumivu yake utafikiri umegongwa na treni . Yani unasikia maumivu kutoka utosini mpaka unyayoni hakuna sehemu ya mwili ambayo haiumi. Ukitembea ukapiga hatua ni maumivu ukisema ukae ni maumivu kiufupi ni maumivu left and right
Mkuu hiyo ni ngoma umeikwaa...usichelewe kaanze kupata ARV's mapema
 
njiwa

JF-Expert Member
Apr 16, 2009
12,032
2,000
Chanjo za Tb, Measles, smallpox, Tetanus, kichaa cha Mbwa, antivermon, Yellow fever, Polio zinatoka wapi vile?

zilifanyiwa uchunguzi na kupita phase zote za clinical trial..... na pia hizi- hazichezi na vinasaba hii ya COVID Ni experimental, inawezekana wao- wenyewe wanajiweka kwenye control group na kichoma placebo while waafrica mnapewa experimental ...

Hakuna anayekataa chanjo ila issue hii ni experimental ... inacheza na vinasaba , meanwhile haijapita phase zote 4 za trial ...

cha kufanya wao- wachome sisi tutasubiri tuone effect kwa watoto mtakao wazaa .. kama watakuwa sawa tutachoma na sisi.. but meawhile a BIG NO THANK YOU we will practice Clean hands & social distancing
 
Janja weed

JF-Expert Member
Nov 20, 2020
561
1,000
Kama umechoma hongera ,ila kuchoma kwako hakumaanishi watanzania wengine wote wanatakiwa kuchanjwa, haya majitu ambayo yako kwenye majaribio sio ya kuyashabikia sana , tunashukuru kwa uwakilishi , kama zikianza kukuzingua pia uje hapa utoe taarifa unavyoharisha unavyoshindwa kupiga show n.k.
 
RRONDO

JF-Expert Member
Jan 3, 2010
42,855
2,000
zilifanyiwa uchunguzi na kupita phase zote za clinical trial..... na pia hizi- hazichezi na vinasaba hii ya COVID Ni experimental, inawezekana wao- wenyewe wanajiweka kwenye control group na kichoma placebo while waafrica mnapewa experimental ...

Hakuna anayekataa chanjo ila issue hii ni experimental ... inacheza na vinasaba , meanwhile haijapita phase zote 4 za trial ...

cha kufanya wao- wachome sisi tutasubiri tuone effect kwa watoto mtakao wazaa .. kama watakuwa sawa tutachoma na sisi.. but meawhile a BIG NO THANK YOU we will practice Clean hands & social distancing
Sasa ukiwa na mawazo kama haya kuna mbweha wanajihisi wanaakili sana wanaanza kukutukana! Inawezekana hawajui hata placebo.
 
Jimena

JF-Expert Member
Jun 10, 2015
25,276
2,000
Kwani lazima kila mtu achanjwe?! Hata chanjo ikiletwa si lazima kila mtu achanjwe. Ukijisikia kuchanjwa sawa,asietaka sawa.
Dawa au chanjo isio ya lazima siitaki mwilini mwangu.
Kinachonishangaza wao wamepata vaccine ila hawajiamini, bado wanavaa barakoa na face masks
Sasa kama kweli wamepata kinga yanini barakoa na masks? Mbona bado wanaogopa kujichanganya?
 
left eye

Member
Jun 30, 2018
38
125
Anahoji kwanini serikali haitaki chanjo huku watu wanapoteza maisha.

Ulivyo na Ego mbaya huoni tunavyopoteza maprof, padres, doctors, lawyers etc kwa mijitu mibinafsi kama nyie.

Black is misfortune, I can agree.
Kila siku watu wanakufa ,unaona ni wimbi la watu weng kufa sababu ni maarufu ,hiv kila anaekufa kila mkoa tukipost kama hao watu mashuhur mnaodai wamekufa na corona kutakalika ,si itaonekana ni vifo vya kutisha nchini ??
 
INRI

JF-Expert Member
Oct 5, 2017
1,294
2,000
Kila siku watu wanakufa ,unaona ni wimbi la watu weng kufa sababu ni maarufu ,hiv kila anaekufa kila mkoa tukipost kama hao watu mashuhur mnaodai wamekufa na corona kutakalika ,si itaonekana ni vifo vya kutisha nchini ??
Wewe ni MPUUZI. Period!
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom