Nimepata Chanjo ya Corona nchini Marekani, puuzeni uzushi

gimmy's

JF-Expert Member
Sep 22, 2011
2,894
2,000
Mkuu unaweza kuthibitisha kuwa watu wanaokufa hapa Tanzania wanakufa na hiyo covid 19 especially kutokea South Africa??
Kama una uthibitisho wowote nauomba tafadhali....
Yani Kati ya jambo rahisi sana basi kuwaongoza watanzania,yani tunadanganywa sana na mtu mmoja lakini hatustuki kabisa,kwakweli kati ya mwaka ambao tiliingia mkenge basi 2015.
 

sengobad

JF-Expert Member
Aug 13, 2017
4,142
2,000
Mkuu unaweza kuthibitisha kuwa watu wanaokufa hapa Tanzania wanakufa na hiyo covid 19 especially kutokea South Africa??
Kama una uthibitisho wowote nauomba tafadhali....
Wewe si uthibitishe kuwa hawafi, thibitisha basi
 

Oxlade-Chamberlain

JF-Expert Member
May 26, 2009
8,515
2,000
Mda wote huo watu wanaendelea kufa tu?

Hizo ni hatua sawa lakini ukiangalia mashambulizi ya kirusi cha Covid19, chanjo zimepitishwa kwa njia ya dharula. Walipeleka data zote wataalam wa serikali wakapitia na kupitisha.

Sie tuendelee kupambana na malaria.

Hio chanjo tunajifanya wajuaji tu, ukweli ni kwamba imepatikana haraka kwa vile mataifa makubwa raia wao wengi wamefariki. Ni kwa ajili yao. Ingepiga Africa tu saa hizi jamaa wangekuwa wana tudondoshea masks na gloves kutoka kwenye midege yao.
 

RRONDO

JF-Expert Member
Jan 3, 2010
42,857
2,000
Sasa utaipata wapi mjomba au unadhani chanjo inauzwa kama Condom zinavyouzwa huko kwenu Buza kwa Mpalange.. Chanjo inaagiza nchi na Mwenye nchi kasema haleti kwa wala usiahangaike kushupaza shingo. Nyau we
Nyau mama yako na baba yako.
 

alumn

JF-Expert Member
Jul 15, 2018
1,596
2,000
Wanaotaka kuchanjwa acha wachanjwe na sisi wengine tupo tusiotaka kuchanjwa shida iko wapi? Tukifa sisi tusiochanjwa shida iko wap?
 

alumn

JF-Expert Member
Jul 15, 2018
1,596
2,000
Kwani lazima kila mtu achanjwe?! Hata chanjo ikiletwa si lazima kila mtu achanjwe. Ukijisikia kuchanjwa sawa,asietaka sawa.
Dawa au chanjo isio ya lazima siitaki mwilini mwangu.

Tupo pamoja Bwana Prondo. Hakuna haja ya kulazimishana chanjo
 

mama kubwa

JF-Expert Member
Nov 3, 2010
4,424
2,000
Anahoji kwanini serikali haitaki chanjo huku watu wanapoteza maisha.

Ulivyo na Ego mbaya huoni tunavyopoteza maprof, padres, doctors, lawyers etc kwa mijitu mibinafsi kama nyie.

Black is misfortune, I can agree.
MTU ambae hajaumwa anaamini hawezi kuugua, hasa vijana wanajiamini Sana na ugonjwa huu, utasikia haya ni mafua ya kawaida Tu.
 

Msingida

JF-Expert Member
Dec 1, 2010
7,453
2,000
Mie natamani sana hao wanaokataa chanjo waugue....huu ugonjwa mie naweza kesha siku nzima nikihadithia jinsi unavyotesa... unanyong'onyeza mno kwa muda mrefu nowonder wazee inawaonda mapema sana..ni mateso makali sana
Wanaugua tayari,wafatilie uone kama utasikia habari zao kwa sasa
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom