Nimepata ajali, niombeeni wana JF

Nimepata ajali, niombeeni wana JF

Habari JF,

Leo mida ya saa kumi na Moja Kamili, nikiwa na Bajaj yangu kazini, natoka mji Mwema kwenda ferry Kigamboni.

Nikiwa katika low speed ukizingatia hali ya hewa nikiwa upande wangu, gafra niliona artezza White imeovertake Iko mbele yangu.

Aisee, nilijitahidi kukwepa lakini alikuwa speed sana, baadaye kakimbia sijui hata rangi ya gari, Nina maumivu kichwani na mguuni.

Bajaj yangu Ina Bima kubwa
Askari wamepima na kuchora
Taratibu zingine zipoje nirudi kazini

View attachment 2558751View attachment 2558752View attachment 2558754
pole sana Mkuu
 
Habari JF,

Leo mida ya saa kumi na Moja Kamili, nikiwa na Bajaj yangu kazini, natoka mji Mwema kwenda ferry Kigamboni.

Nikiwa katika low speed ukizingatia hali ya hewa nikiwa upande wangu, ghafla niliona altezza White imeovertake Iko mbele yangu.

View attachment 2558751PolpoView attachment 2558754
Pole sana, shida umaskini unaotusumbua
 
Pole sana ndugu Yangu, Mimi ni mtumiaji WA barabara Kwa sana, ninachoona Sasa Bajaji nyingi zina mwendo mkali kama Gari TU!! Sasa ulichokifanya umekomaa na mwendo Wako angali mwenzako (dereva WA altezza) akijua hii ni Bajaji nitaipita TU bila nguvu nyingi ila wewe ukakomaa!! Kilichotokea Gari nyingine ikaja mbele yake Huku malengo yake ya kukupita yalikuwa hayajakamilika hivyo ikabidi kurudi Kwa haraka kwenye upande wake!! Angalizo; nyie watu WA Bajaji mnatabia ya kuona mmeonewa!! Hivyo ukambania badala ya kuchukua tahadhari na kujiokoa na kuepusha Ajali!! (Kupunguza mwendo) Ila faida yake nadhani umeiona!! Hili liwe fundisho Kwa madereva wote (hasa WA Bajaji) Mwenzako anapokupita mpe nafasi Kwa kupunguza mwendokasi Kwani kila mtu ana haraka zake na zinatofautiana (Hakuna haja ya Mashindano)
Ifahamike watu wengi wanakupa pole TU Kwa vile wewe ndio umekuja hapa Kwa jukwaa kutoa kilio chako ila Mimi nataka kusaidia na wengine ambao hulka zinafanana
Ulikuepo tukio linatokea!??
 
Pole sna kiongozi , hakikisha unapata vipimo mkuu.
 
Habari JF,

Leo mida ya saa kumi na Moja Kamili, nikiwa na Bajaj yangu kazini, natoka mji Mwema kwenda ferry Kigamboni.

Nikiwa katika low speed ukizingatia hali ya hewa nikiwa upande wangu, ghafla niliona altezza White imeovertake Iko mbele yangu.

Aisee, nilijitahidi kukwepa lakini alikuwa speed sana, baadaye kakimbia sijui hata rangi ya gari, Nina maumivu kichwani na mguuni.

Bajaj yangu Ina Bima kubwa
Askari wamepima na kuchora
Taratibu zingine zipoje nirudi kazini

View attachment 2558751View attachment 2558752View attachment 2558754
Allah akuponye haraka
 
Like sana mkuu Mungu mwema ....pole maumivu daaa huyo driver Mungu atamuonyesha na kumlipia
 
Pole sana mkuu!

Mshukuru Mungu kama unaweza hata ku-type hapa.
 
Pole sana,
Ufike hospital kwa vipimo zaidi,

Hiyo barabara siku ya Jumatatu watu wanakuwa na wazimu wengi wametoka kukesha kwenye mabar hapo kalewa halafu ana drive na bado litaenda kazini.

Dah! Ningekwambia uzungukie gereji kadhaa uchunguze gari ya Alteza itakayoenda kupatiwa huduma kwa wiki hii yote.
Naogopa hiyo paragraph yako ya mwisho, means ajali imetokea hakuna hata eye witness mmoja, loooooo Tanzania yangu na bila shaka kuna nyumba barabara hiyo zenye cctv, lazima police waende wakawaombe ili waangalie hizo cctv, wakikataa (ni haki yao)mahakama itumike kupata tapes za cctv
 
Pole sana Mkuu.

Huyo Jamaa wa Alteza balaa limkute popote alipo..
 
Habari JF,

Leo mida ya saa kumi na Moja Kamili, nikiwa na Bajaj yangu kazini, natoka mji Mwema kwenda ferry Kigamboni.

Nikiwa katika low speed ukizingatia hali ya hewa nikiwa upande wangu, ghafla niliona altezza White imeovertake Iko mbele yangu.

Aisee, nilijitahidi kukwepa lakini alikuwa speed sana, baadaye kakimbia sijui hata rangi ya gari, Nina maumivu kichwani na mguuni.

Bajaj yangu Ina Bima kubwa
Askari wamepima na kuchora
Taratibu zingine zipoje nirudi kazini

View attachment 2558751View attachment 2558752View attachment 2558754
Pole sana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom