Nimepata ajali, niombeeni wana JF

Nimepata ajali, niombeeni wana JF

Pole sana Mkuu, waendesha Altezza na Subaru akili zao huwa zina mwelekeo fulani hivi, hata wakiwa wanaongea wana makelele kama exhaust za magari yao sijui shida nini?
khaaaaah
 
Duh!

Anyway ndio mambo ya barabarani hayo
 
Pole mkuu report bima then kwa mchakato zaidi Then ikotoka report ya polisi na michoro ya ajali upeleke
 
Pole sana mkuu kipande cha kutoka mjimwema ,kwa mwingira,jiwe la adabu mpaka mikadi ni hatari sana.
 
Pole Sana Kamanda, Ila Bajaj huwa hamfuati Sheria na Muda Wote Mna Haraka
 
Pole sana mkuu, cha muhimu uzima.

Huyo wa Alterza kuna mahala atalipa alichokifanya..
 
Pole sana aisee

 

Similar Discussions

Back
Top Bottom