Lovie Lady
JF-Expert Member
- Feb 5, 2023
- 2,826
- 4,671
Pole sana Kiongozi MWENYEZI MUNGU akupe nguvu na akurahisishie mambo yako
Hili ni wazo zuri, kuwa na camera inachukua matukio kila siku, siku ikipita salama, unafuta, ili siku inayofuata uweze kuchukua tena.Pole sana. Upande uliopigwa inaonyesha kweli ulikuwa unakwepa. Hivi hamna kamera zinazoweza kusaidia kumpata mhusika? Mji ungewekewa kamera.
AminaPole sana Mkuu
Bwana na akuponye majeraha haraka na akakuinue tena kwenye kazi zako IJN
Tunakuombea![]()
SawaPole sana mkuu,fatilia bima
Anyway, niliwaza haraka haraka hawa vichaa wanao pita hii njia ya katikati.Lakini amesema Mji Mwema kwenda Ferry
Tushauri Serikali zifunge CCTV camera mabarabarani.Pole sana,
Ufike hospital kwa vipimo zaidi,
Hiyo barabara siku ya jumatatu watu wanakua na wazimu wengi wametoka kukesha kwenye mabar hapo kalewa halafu ana drive na bado litaenda kazini,
Dah! Ningekwambia uzungukie gereji kadhaa uchunguze gari ya Alteza itakayoenda kupatiwa huduma kwa wiki hii yote.
Tafsiri ya ndotoHabari Jf
Leo mida ya saa kumi na Moja Kamili, nikiwa na Bajaj yangu kazini.. natoka mji Mwema kwenda ferry kigamboni.
Nikiwa katika low speed ukizingatia hali ya hewa nikiwa upande wangu, gafra niliona artezza White imeovertake Iko mbele yangu,,,
Aisee, nilijitahidi kukwepa lakini alikuwa speed sana, baadae kakimbia sijui hata rangi ya gari, Nina maumivu kichwani na mguuni.
Bajaj yangu Ina Bima kubwa.
Askari wamepima na kuchora
Taratibu zingine zipoje nirudi kazini... View attachment 2558751View attachment 2558752View attachment 2558754
Hata hivyo wewe ni dereva mzuri maana naona umekwepesha uso kwa uso ukampa ubavu.Sawa
Inafuta yenyewe kwa kuovewrite. Wewe unachofanya ni kuangalia tukio unalolihitaji na kulitoa kwenye card ila kama kuko shwari unaacha yenyewe inaendelea kujirekodia na kujifutaHili ni wazo zuri, kuwa na camera inachukua matukio kila siku, siku ikipita salama, unafuta, ili siku inayofuata uweze kuchukua tena.
Nashukuru sana.Hata hivo wewe ni dereva mzuri maana naona umekwepesha uso kwa uso ukampa ubavu.
Pole sana na Mungu akuponye na akurahisishie michakato upatiwe nyingine soon.
Inawezekana kupewa ingine?Hata hivo wewe ni dereva mzuri maana naona umekwepesha uso kwa uso ukampa ubavu.
Pole sana na Mungu akuponye na akurahisishie michakato upatiwe nyingine soon.
Unatafuta huruma. Wengine hutuoni unamuona Mshana Jr tu? Pumbavu bora ungekufa kumbe.Sawa mshana
Nimefurahi sana kuona text Yako.
Nakukubali japo Nipo kwenye shida
Unatafuta huruma. Wengine hutuoni unamuona Mshana Jr tu? Pumbavu bora ungekufa kumbeSawa mshana
Nimefurahi sana kuona text Yako.
Nakukubali japo Nipo kwenye shida
Ahsante kaka pembeUnatafuta huruma. Wengine hutuoni unamuona Mshana Jr tu? Pumbavu bora ungekufa kumbe